CHOMBEZO: MPANGAJI EPISODE: 19 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Friday, February 14, 2020

CHOMBEZO: MPANGAJI EPISODE: 19





ILIPOISHIA
Mwingine alikuwa dada mmoja wa kulekule Tabora,huyu alivumilia lakini hakutaka tena niendelee la pili na la tatu hadi yote. Mwingine alikuwa Mama James,ambaye nilimpa madude yasiyopimika hadi akazima.

Endelea...

Mwingine alikuwa ni mke wangu Maimuna. Huyu siku ya kwanza kule chooni alishangaa sana baada kuishika mashine yangu. Na baadae aliuliza ni vipi Stela aliweza kuhimili mzigo wote ule na wakati hakuwahi kufanya haya mambo hata siku moja.
Nakumbuka nilimjibu kuwa kama hataweza kukutana na mwanaume mwenye dude kama langu,basi ataangaika sana kumtafuta na siku zote atakuwa ananikumbuka sana kwa mambo yangu,kwani nilikuwa namkuna kule kule.
Na ndicho kinachoendelea sasa hivi kwa Stela,kawa mwanamke wa kubadilisha wanaume kama chupi.Kila leo anatafuta mwanaume,warefu kwa wafupi na weupe kwa weusi,hajali unafedha kiasi gani,hata bure unajilia mzigo hadi asubuhi.
Wababa kibao washakula zigo,na hata siku niliporudi pale Morogoro kumtafuta Maimuna alitaka tukumbushie kidogo,lakini kwa yaliyonipata nilipotoka,nilisema hapana,yatosha sana,wanawake mimi basi.
Sasa huyu Sheila alikuwa ni wa tano na alikuwa kaduwaa kweli baada ya kuona mtu yule ambaye hana mabega na ana jicho moja,akiwa anamtazama kwa matamanio sana.
“Kwani hapa nipo na dada yako au wewe,unanikata stimu sasa”.Nilimwambia huku uso nikionesha kuukunja kwa kukereka na yale maneno yake.
“Basi Baby,na wewe hutaniwi?”.Alinibembeleza eti huku akiinua mgongo wake pale kochini na kunikumbatia,kisha taratibu akapaka mkono wake mate na kuanza kumsugua P wangu. Raha niliyoipata,kamwe sikutegemea kuipata kwa mtu kama Sheila ambaye alionekana mpole na asiyejua kitu.
Wakati anamsugua,akaanza kulala na mimi taratibu hadi nikawa nimemlalia kwa juu kwa mtindo uleule wa kifo cha mende.
Na yeye kama alijua kuwa ananichelewesha,akaingiza kile kijiko kwenye kisima chake ili kichote asali. Baada ya kuiweka kwenye kile kisima,alitoa mikono yake kule chini na kuizungusha kwenye shingo yangu.
Kwa kuwa kipenga kilikuwa tayari kimepulizwa kwaajili ya mpambano,basi na mimi nikazama wote kwenye lile pango la mtoto Shei. Hapo ndipo niliamini usemi wa BOB MARLEY kuwa NO WOMAN,NO CRY. Mtoto alikuwa analia kwa raha kiasi cha kunifanya mimi niongeze kasi ya kuendelea kuipa dhoruba ya kutosha ile naniliu yake.
Mtoto alikuwa wa moto balaa,yaani dakika mbili sidhani kama zilifika,tayari nilikuwa nimetoa yale ya mwanzoni. Sikuridhika na hali ile,nikataka niendeleela pili.
Alinikaribisha vizuri baada ya mdudu kusimama tena. Safari hii nilipiga kwa dakika nyingi kiasi. Kwa kuwa alikuwa wa moto na anayejishughulisha,nilijikuta nafunga tena la pili baada ya dakika kumi.
Nilikaa pembeni baada ya shughuli ile na nilimuona yeye akinyanyuka na kushika khanga yake na kuitanda mwilini mwake.
“Nakukarisha tena P,unikune. Kwa leo hujanikuna kabisa,ila nashukuru”.Aliongea mtoto Shei na kuniacha kinywa wazi kwa maneno yake.
Nilijiona kama nimekuruka sana kumuingia huyu mtoto hadi anadiriki kusema kuwa hajaridhika kwa mkuno wangu.
“Usijali Shei.Keshokutwa uje muda mzuri ili nilioneshe kwa nini mimi ni mtoto wa mfalme”.Nilimjibu huku nikimuacha yeye akifungua mlango na kutoka nje kuelekea kwao.

Huo ndio ukawa mwanzo wa mimi na Sheila kufanya mchezo mbaya.Nikawa namsubiri aje keshokutwa sasa ili nimuoneshe maujanja yangu niliyoyaficha siku ile.
Siku hiyo sikutoka hata nje baada ya kale kamchezo katamu kutoka kwa Sheila. Kila wakati nilikuwa nakiwaza kiuno chake kilivyokuwa kinaenda kushoto na kulia,mbele na nyuma kwa mtindo wa kuzunguka duara. Kila nilipokuwa nawaza hayo,nilikuwa napandisha mizuka hadi boxer yangu ya Manchester United ilikuwa inataka kutoboka.
Nilijigeuza huku na huko huku nikiwa nimeingiza mkono wangu kwenye naniliu na kuisugua sugua kidogo ili ule ugwadu utoke. Nilijikuta na kuwa uhitaji mkubwa sana wa mwili wa mwanamke hasa pale nilipozidi kumfikiria yule mtoto.
“Mmmh! Huyu mtoto wa dawa nini?Mbona namfikiria kiasi hiki?Kwani utamu wake upo kiasi gani hadi nishinde nimeweka mkono wangu kwenye mdudu?”.Nilijikuta najisemea mwenyewe huku bado namsugua sugua P kwa mikono yangu migumu kama stili waya.
“Na kesho akija natoa haya machungu yote.Nitampa madude hadi akimbie hapa kwao na kunitafuta popote nilipo duniani.Mimi ndio P bwana,miaka ishirini na tatu lakini mkware wa malavi davi kama na miaka arobaini.Ngoja aje sasa”.Niliendelea kuwaza mwenzenu na baada ya kuona nazidi kuelemewa,ilinibidi ninyanyuke na kuelekea bafuni kupoteza hali ile.

*************

Kesho yake ikafika,na jana ambayo nilifanya mchezo mbaya na Sheila,kaka yangu alirudi na kunipa taarifa niondoke baada ya mwezi mmoja na nusu kwa kuwa yeye ajajiandaa sana kifedha kwa ajili ya kupeleka nyumbani chochote.Kama unakumbuka nilikwambia kaka yangu yule anajenga maeneo ya Sanawari.
Nilijidai nimepoa kidogo ila moyoni nilishangilia sana taarifa zile kwani zitanipa uhuru wa kuenjoy na mtoto Shei,mtoto wa moto ambaye ukiweka kichwa tu pangoni,tayari unamwaga wazungu wako wa kutosha.
Asubuhi hiyo kaka aliniaga na kuniambia atarudi baada ya wiki moja,na mimi sikuwa na kipingamizi kwani shughuli zake ndizo zinamuweka kuwa bize kiasi hicho.
Baada ya kuondoka,nilikaa zangu kwenye kochi na kutabasamu kwa furaha juu ya taarifa zile,na niliamini ningechapa Sheila kila ambapo ningemuhitaji.Lakini kwa kuwa tulipanga marudio ya mechi yawe kesho yake,basi nilivumilia na kujiwekea CD yangu ya play station,ambayo ilikuwa na game la GTA San Andres. Nikaanza kucheza game lile kuanzia asubuhi ile ya saa mbili hadi mida ya saa saba.
Nilitoka nje kidogo na kuangalia mazingira,kisha nikaelekea kwenye kibanda kimoja cha kuchoma chips. Nikaagiza kiepe yai na kurudi zangu ndani. Huko nilifungua jokofu na kutoa juisi moja ya Cares na kuanza kuishusha taratibu sambamba na kile kiepe.
Baada ya kuridhika na msosi ule wa kisharo. Nikabofya sehemu ya play kwenye pad zangu za kuchezea game,na hapo nikaendelea kucheza game lile gumu ambalo hadi leo sikuwahi kulimaliza.

***************

Saa moja za usiku,nilitoka tena nje na kuelekea kwa rafiki yangu yule aitwaye Gasper.Huko nilienda na nilimkuta katulia chumbani kwake huku anasikiliza album moja ya Crazy GK ile ya Nikupe Nini. Albamu ile nilimpa mimi kutokana na kuwa mpenzi mkubwa wa nyimbo za Crazy GK.
“Ahaaa. Mzee P. Naona umenikumbuka leo”.Alinipokea kwa furaha Gasper huku anapunguza sauti ya redio yake.
“Kaka nipo asee.Sema mambo kibwena kiasi.Vipi buku lakini”.Na mimi niliitika kwa furaha huku nikigonga naye bega la kushoto na kulia na kisha akanikaribisha nikae kwenye kiti kimojawapo kilichopo mle ndani.
“Daah!Hapa nimebakiza wiki tatu nirudi skonga kupambana.Vipi wewe,si ulisema baada ya wiki mbili ndo unasepa,sasa hivi umebakiza wiki moja,si ndio eeh”.Aliongea Gasper.
“Aaaag.Bro kanipa tena mwezi mmoja na nusu ili atafute mpunga wa kwenda kuwapa wazee kule home”.Nilimjibu.
“Daah!Kwa hiyo una mwezi mwingine hapa jijini?”.Aliniuliza tena.
“Yaap,kama kawa. Bado napambana hapa mjini”.Nami nilimjibu.
“Daah! Haya bwana.Vipi wale watoto,umekula na yule mwingine?”.Aliniuliza swali ambalo ndilo hasa lilinipeleka pale. Nilikuwa nataka kumuhadithia mkanda mzima uliotokea jana yake.
“Nimekula jana bwana. Nimepiga viwili yule mtoto Shei”.Nikamjibu huku nimetoa tabasamu la ushindi.
“Acha bwana.Ina maana nacho umekitafuna?”.Jamaa aliniuliza kama hakuamini maneno niliyomwambia.
“Kama kawa,alianza kushoboka mwenyewe na mimi nikafurumua”.
“Daah!We nyoko mse@@@@ wewe. Duuuh! Kweli we ndio mtoto wa mfalme.Ehee ilikuwaje mpaka akaingia king”.Gasper sasa alitaka mkanda mzima na mimi bila kusita nikaanza kumpa moja mpaka namba ya mwisho ya mambo yaliyotokea.
“Daah!una bahati boya wewe.Sisi wengine tutasubiri sana tutokewe na hayo mazari”.Aliongea Gasper baada ya mimi kumaliza mkanda wangu.`
“Usijali mkubwa.Mbona haya mambo ize tu!”.Nilimjibu na kumfanya akae kimya bila swali.Nikakata ukimya ule kwa kuendeleza stori ileile lakini kwa maswali.
“DaaH!Ila mtoto wajanja wameshawahi kumfungua paja.Sijui nani huyo mwenye bahati,waweza kuwa wajua?”.Nilimuuliza Gasper.
“Dah! Halafu sikukwambia eeh!Kuna jamaa mmoja hivi alihamishwa mji na yule baba yao.Alikuwa anakula yule mtoto wakati yupo kidato cha tatu.Nahisi ndiye alimtoboa”.Gasper alinijibu.
“Kwani baba yao anakazi gani hadi aamishe watu miji?”.Nilimuuliza tena.
“Aaag,sijafahamu,ila kabla sijasepa au hata niklisepa,nitakupigia simu baada ya kujua ishu za huyo mzee.Kuna mtu namjua,nitamuuliza kwani nasikia yeye anafahamu sana historia ya ile familia,na ndiye aliyeniambia juu ya huyo jamaa kuamishwa mji”.
“Daah!Poa mwana.Ngoja mimi nirudi skani kufanya mengine.Ila kesho,anakuja tena kucheza na mdudu.Atakoma sasa”.Nilimwambia huku nafungua mlango na yeye alicheka tu! Na kuniacha nikiondoka pale kwao ambapo alikuwa anaishi na wazazi wake.

*****************

Kesho yake kamanda,nikawahi kuamka na kuanza kusafisha mazingira ya pale nyumbani.Na baada ya hapo nikahamia ndani na kupapamba vizuri kwa ajili ya ugeni wowote utaojitokeza.
Mida ya saa nne nilikuwa nimekaa mbele ya luninga yetu nikicheza kama kawaida GTA San Andres. Nilicheza sana siku ile,hadi mida ya saa saba ndipo nilikumbuka kwenda kupata msosi wangu palepale kwenye kibanda cha kuchoma chips.
Baada ya kula,nilirudi zangu ndani kwetu ambapo wakati nafungua mlango nilisikia mtu akija nyuma yangu na kunitekenya,nilipogeuka niligundua kuwa ni Shei akiwa kapendeza kuliko siku zote nilizowahi kumshuhudia pale nyumbani.
Macho yake aliyapaka shadow,na pale karibu na kope za macho yake,alipaka sijui vinini vinang’aa hivi,vya rangi ya silva. Juu ya macho yake ambapo kuna nyusi,pale alizichonga vizuri na kuwa nyembamba,na nahisi aliongezea khungu kwani jicho lake lilikuwa kama katoka kuvuta bangi.Jicho legelege mpaka nikahisi linaweza kudondoka chini halafu ikawa balaa.

USIKOSE EPISODE YA 20.......



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa