CHOMBEZO: MPANGAJI EPISODE: 17 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Friday, February 14, 2020

CHOMBEZO: MPANGAJI EPISODE: 17






Wakati nimebakiza wiki moja niondoke pale nyumbani,likatokeza tatizo kubwa jingine. Hili ni tatizo kubwa kuliko matatizo yote niliyowahi kuyapata maishani mwangu. Tatizo hili naweza sema ndilo haswaa,lililonifanya nione Arusha chungu na mbaya sana kuliko mikoa yote niliyowahi kutembelea.

“SHEILA”.Acha nimtaje kwa herufi kubwa kwani bila yeye,leo mimi sijui ningekuwa wapi katika maisha haya mazuri ya kuajiriwa na serikali pamoja na makampuni makubwa duniani. Huyu kasababisha mimi nisiwe tena na maisha hayo. Najua wajiuliza kivipi,ila ngoja nikuhadithie sasa.

************

Ikiwa imebaki wiki moja mimi kuondoka pale nyumbani. Huyu Sheila alianza kunitega. Tena mitego yake ile ya Farida ilikuwa cha mtoto. Si mwajua huyu alikuwa kama chipukizi vile,yaani chuchu ziwa konzi,kiuno kilichoingia ndani kama dondora na huku chini kuna matufani yaliyokuwa yamejipanga kinoko-noko hasaa. Yaani mmmmh! Acheni jamani.

Siku hiyo asubuhi na mapema niliamka kama kawaida yangu na kuanza kutalii mazingira ya pale nyumbani. Wakati nashangaa shangaa,mara nikamuona Sheila anatoka nyuma ya nyumba na fagio kubwa la kufagilia uwanja. Sikushangaa kwani ilikuwa ni tabia yake kila asubuhi kufagia uwanja. Alinipita bila hata kunisalimia na kuingia ndani kwao.

Nahisi siku hiyo baba yake hakurudi nyumbani,maana alipoingia alitoka tena,lakini safari hii alivyotoka kwa kweli sikumuelewa hata chembe.

Alikuwa katoa ile sketi yake anayoitumia kufanyia kazi na alivaa khanga moja tu!. Khanga ambayo ukiingalia sana,utagundua kuwa inaonesha hadi maungo yake. Sasa ni kheri angekuwa anaenda labda bafuni,lakini haikuwa hivyo. Alikuja kwangu moja kwa moja.

“Leo P sijakusalimia jamani”.Alianza kihivyo huku macho yake yakiwa yanazunguka zunguka kiurembo zaidi.

“Nashangaa”.Nilimjibu na kuendelea kuwa bize na mambo yangu.

“Na wewe hata unishtui bwana”.Bado aliendelea kuniongelesha huku yale macho yake yakizidi kuranda randa na kurembuka.

“Mi nishawazoea. Mbona hata dada yako naye simuoni”.

“Aaagh,huyo achana naye. Kwanza unajua siku ya tatu leo halali ndani?”.

“Ama nini?Ina maana kajihalalisha tabia yake?”.Nilimuuliza.

“Huyo kishazoea mambo hayo. Mimi sitaki hata kumsikia”.Alinijibu.

“Mtajua wenyewe bwana. Ili mradi kaniacha salama na nimemuacha salama”.Na mimi niliongezea.

“Aaah!.Prince nikwambie kitu”.Ghafla Sheila alitoka kwenye yale maongezi.Akaanza kama kujikuna mguu,na baadae aliongea huku macho yake yakiwa yamerembuka kupita kawaida.

“Nini mdogo wangu?”.Nilijua nia yake.Ili kumkatisha nilimuita mdogo wangu.Lakini haikufua dafu. Sheila alikuwa kadhamiria hasaa.

“Naomba unisaidie P. Hapa kwenye mguu wangu pawasha”.Aliongea hayo huku anakuja pale kwenye kibaraza nilipo na kunipa mgongo kisha akafunua khanga yake na kuonesha sehemu ambayo anasema inawasha.

Ile khanga aliifunua vizuri kwelikweli,ingekuwa midume mingine kama huyu anaesoma,palepale angeanza mambo mengine. Ila kwa P,ilikuwa kitu cha kawaida sana.

“Hapa au?”.Nilishika lile eneo analosema linawasha na kumuuliza kama ndipo pale.

“Hapo kwa juu kidogo”.Aliongea kwa sauti ya chini huku mguu wake nimeushika mimi.

“Hapa?”.Niliuliza tena baada ya kugusa kwa juu yake.

“Kidogo tena juu”.Aliziidi kupanda. Hadi hapo tayari tulishavuka maeneo ya maungio ya mguu,na sasa alionesha sehemu inayowasha kuwa ni paja lake. Paja nono,paja jeupeee.

Kidume nikameza mate ya uvumilivu na kupiga moyo konde. Na nilichukulia yale ni majaribu tu!

Nikapanda hadi juu alipotaka. Mmmh! Kama majaribu ndio yapo vile,basi yale yalizidi kipimo.

Eti nilipogusa pale aliposema,mara akapandisha khanga yake hadi juu ya mapaja. Ha ha haaaa,wajua nini mpenzi msomaji?. Hawa watoto wa kike waacheni kama walivyo,wakiwa wamepandwa na maruhani yao sijui wanakuwaje.

Kumbe ndani bwana alikuwa hajavaa chupi wala nini. Mi nilidhani labda pale mwanzo niliona uongo maungio yake,lakini wala,ilikuwa ni kweli. Alikuwa hajavaa chupi aisee.

Basi ile kupandisha khanga yake juu,eeh bwana si nikaona pango lake!. Tena likiwa ndiyo kwaanza linaanza kuota vinyweleo. Pango lipo safi kichizi,halafu limejibana hatari. Hata pale aliponiambia hapa ndio panawasha huku anatanua miguu yake,bado lile pango lilikuwa limefungika,yaani ule mlango ulikuwa bado hauonekani.

“Shei. Unanizingua bwana. Mimi huko siwezi”.Ilibidi kamanda nijidai bwege tu!Maana ningejidai naendelea kuuliza,mara ningegusa na lile pago.

“Bwana P,ndio hapohapo,we nikune tu!”.Aliongea sauti ya puani hadi nikahisi huyu mtoto anaweza kufa kwa sauti hii ilivyobadilika.

Basi kwa haraka,nikakuna pale aliponiambia na kisha nikanyanyuka ile sehemu niliyokuwa nimepiga goti na kuingia zangu ndani kwangu bila kuaga wala nini.

Nadhani hali ile ilimtia mashaka Sheila,alihisi labda tayari nilikuwa nimepata hasira au nimemuhisi vibaya.Lakini hiyo yote ilikuwa sivyo,nilikuwa namvutia ndani makusudi. Mtoto kama yule na uzuri kama ule hawezi kupita hivihivi kwa Master P bila kupewa mdudu. Unacheza na mimi nini?

:: Usikose Episode ya 18.....



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa