CHOMBEZO: MPANGAJI EPISODE: 11 (inaendelea...) - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Friday, February 14, 2020

CHOMBEZO: MPANGAJI EPISODE: 11 (inaendelea...)






Nilichukua shuka la pembeni yake,nikamfuta lile chozi na bila kutegemea,nilijikuta namkumbatia yule mama akiwa vilevile bila nguo na mara taratibu nilianza kumchezea chezea. Hapo Tuse aliamua kutoka zake nje na kutuacha watu wazima tukijiandaa na mchezo.
Niliamua kwa roho moja kufanya mapenzi na mama yule ambaye hakuwa mama kabisa,yaani hata yule shangazi yake Stela alikuwa mkubwa sana. Sasa kama niliweza kufanya na mama kubwa kama Shangazi wa Stela,ya nini nimshindwe huyu ambaye alikuwa si mkubwa japo alinizidi.
Nilimpa mambo mengi sana ambayo sidhani kama kuna mwanaume mwingine aliweza kuyafanya hapo kabla. Yale niliyomfanyia Tuse na Shangazi yake Stela kule Morogoro hadi akazimia,basi niliyachanganya kwa pamoja na kumfanya Mama Tuse yule kuwa hoi taabani huku akiniahidi kumwambia Tuse anisamehe kwa adhabu iliyokuwa inanikabiri.
Hakuacha kuniambia kuwa ameenjoy sana mambo niliyomfanyia,na alisema atanikumbuka sana,kwani ni mimi pekee ndiye niliweza kukata kiu yake ya ngono.
Kesho yake mama yule ambaye alijitambulisha kwangu kwa jina la Khadija,aliniita ndani kwao na moja kwa moja niliitikia wito ule kwa kwenda,ambapo kama kawaida nilimkuta na Tuse,lakini siku ile walikuwa wapo kistaarabu zaidi.
“Prince. Nimekuita hapa kwa ajili ya kulijadiri lile suala letu la kutolewa ile adhabu ya kufanya ngono ambayo ilikuwa kama tunakulazimisha kufanya vile,hukupenda nadhani. Na kama ungependa basi ungekuwa una furahia sana sisi tukikuita au wewe mwenyewe ungekuwa unamuita Tuse ndani kwako na kufanya naye ngono. Hivyo baada ya kugundua kuwa hupendi,tumeona bora tukuite na kukupa taarifa za kuisitisha adhabu ile,lakini tukiwa na masharti machache sana kwako”.Mama Khadija au Mama Tuse alianza kwa kusema hayo.
“Nakusiliza dada”.Nilimpa uhuru kwa kumuita dada,jIna ambalo alitabasamu kidogo baada ya kulisikia. Akajivuta kwa mbele kutoka kwenye lile kochi alilokuwa amekalia,na kisha akaendelea na maongezi yake.
“Tunachoomba. Baada ya kuitoa hii adhabu kwako,ni wewe kufanya haraka iwezekanavyo kuondoka hapa,kwani yule baba akijua kuwa tumekwambia siri zetu,ni lazima atakutafuta na kukufanyia kitu kibaya. Hivyo nakuomba sana Prince,ondoka na nenda kokote lakini si kukaa hapa. Na pia,siri zile tulizokwambia jana,usijaribu kumwambia hata kaka yako. Wewe ukiondoka,sisi tutamtetea kaka yako,na huyu baba anatuamini sana,hawezi kumfanya chochote. Ni hayo tu jembe langu”.Mama Tuse alimaliza kwa kijisifa cha kijinga,hadi akanifanya nitabasamu na wakati si tabia yangu hasa napokuwa nao.
“Sawa dada,nimekusikia na naufanyia kazi ushauri wako”.Nilimjibu kifupi na kumsikiliza atasema nini.
“Sawa,basi wewe kaendelee na shughuli zako halafu baadae nadhani huyu Tuse atakuja nae kusema na wewe,uongo mama?”.
“Ndiyo Prince. Nitakuja tuagane kwa kukupa historia ya maisha yetu”.Tuse alimjibu Mama yake huku ujumbe ukiwa unakuja kwangu.
“Hamna tatizo. Nakukaribisha bibie”.Niliwajibu na kisha nikanyanyuka na kurudi kwangu kuendelea na mambo yanayonihusu.

Mida ya jioni,Tuse alikuwa sebuleni kwangu huku akiwa na sura ya majonzi sana usoni kwake. Na mimi pia nilikuwa vivyo hivyo kutokana na hadithi aliyokuwa amenisimulia. Ilikuwa imeshika hisia zangu sana,na niliahidi kufanya jambo ili aliyonihadithia Tuse,yafike kwa kila mtu.
(Aliyonihadithia Tuse,nitayafanya kama hadithi nyingine. Bado nafikiria iweje. Kuwa na mimi).

“Basi ndiyo hivyo P. Si kila changudoa,kapenda kuwa changudoa,bali kuna watu au vitu vimesababisha sisi kuwa hivi. Nakuomba P,usiwe na kinyongo na mimi,na nakuomba sana tena sana,kaelimishe haya niliyokwambia,usiyafutike moyoni mwako”.Tuse aliongea kwa uchungu na baada ya hapo alihisi kama machozi yanataka kumtoka,kwa haraka sana,alitoka nje na hakurudi tena.

************

Nilikaa wiki nzima pale nyumbani huku nikipanga mkakati wa kumdanganya kaka ili niondoke pale nyumbani kwake.
Baada ya kuwaza na kuwazua, nilipata jibu moja ambalo nadhani lingemfanya kaka kutofikiria vibaya mimi kuondoka pale kwake. Nilimsubiri kaka kwa zile siku tano zilizobakia,na baadae alikuja na wala sikuwa na wasiwasi,moja kwa moja nikamueleza nia na madhumuni yangu.
“Bro unajua nimekaa sana kwako,halafu nimepakumbuka sana nyumbani. Si wajua nyumbani ni nyumbani hata kama mnakunywa chai kwa maharage kila asubuhi?”.Nilianza kuongea na kaka kiutani kama simaanishi nachosema.
“Aaa dogo,mara hii unataka kuondoka?Tulia kwanza hata miezi miwili mingine ili nikipata kiasi fulani,nikupe umpelekee na mzee,si wajua sijamtumia mshiko siku nyingi”.Kaka aliniomba lakini na mimi nilikuwa nimejiandaa vyema katika mabembelezo yangu.
“Basi nitaenda kwa Bro George kule Arusha ili ukishapata huo mshiko nirudi nyumbani moja kwa moja kwa maana nikitoka hapa bila kwenda kwake,atamind sana”.
“Hilo nalo wazo zuri,kwa kuwa na yeye alikuwa anakuhitaji uende kwake,ni vema ukamcheki halafu mimi nitakutunia hela hiyo ya mzee,ndiyo na wewe utaondoka,sawa?”.Bro aliingia line mwenyewe bila kujua nia na madhumuni yangu ya kuondoka pale.
Akapanga siku ya kuondoka ambayo ilikuwa ni siku mbili zijazo. Na hata alipompigia kaka yangu wa Arusha,hakuwa na kinyongo zaidi ya kufurahi ujio wangu kwani pale kwake anasema kulikuwa papweke sana.
Nilifurahi sana kuhusu hilo,kwani nilijua sasa ile kadhaa inaeleka kwenda kaburini. Nilimshukuru sana kaka kwa msaada na uvumilivu wake pale mimi nilipoibiwa,na sikuacha kumpa moyo kwa kumwambia MUNGU ndiye muweza na atamlipa kwa yote aliyonifanyia.
Kesho yake,nilikutana na ile familia ya akina Tuse,nikawaaga kwa kuwaambia kuwa naondoka kesho yake.Nao wakiwa wanamasikitiko kiasi fulani,waliniaga huku wakiniachia mawasiliano yao ambayo hadi wakati huu napowahadithia mkasa huu,niliwahi kuongea nao kama mara nne tu! Na ni miaka mingi sana imepita tangu niachane nao.Kilichowapata,ni mkasa mwingine wa kusisimua.

Hatimaye siku hazigandi bali zinaenda kama moshi utakao kwenye kuni na kubebwa na upepo uvumao wakati wa mvua. Siku hiyo kaka alinisindikiza hadi Ubungo na kunikatia tiketi ya kwenda Arusha kwa basi la Shabbiby.
Kwa kuwa basi lenyewe lilikuwa ni luxury,mnamo mida ya saa tano likawa linapiga honi kuashiria kuwa linaanza kuiacha ardhi nzuri iliyopo pale Ubungo. Naam,sasa safari yangu ya Arusha,ikawa imeshika hatamu.

****

:: Hatimaye Prince anaenda Arusha kuanza maisha mapya, maisha bila Tuse wala mama Tuse? Je atafika kwanza Arusha? na itakuwaje huko?

::Usikose Episode ya 12****



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa