Nawashwa Chini 19 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, January 30, 2020

Nawashwa Chini 19





SEHEMU - 19
ILIPOISHIA..
tuliishia pale ambapo jackrine na jeff wakiburudika mpaka asubuhi, na asubuhi yake majira ya saa mbili alikuja maria kugonga katika mlango wa jeff huko ndani jeff alikuwa bado amelala na jackrine...
SONGA NAYO..
....inamaana mnafanyaga mapenzi na maria sio?" jackrine aliuliza kwa ukari huku akinibadilishia sura na kuiweka kwenye hali iliyonishtua "SINAKUULIZA JEFF??" aliuliza tena jackrine kwa hasira alipoona simjibu alitoshuka kitandani nakujifunga vizuri kanga yake nakutoka oya oya!! kisha akaufungua mlango akihema kwa hasira "heeeh!! we jackrine na huku tena kimekuleta nini??" aliuliza maria baada ya kumuona aliefungua mlango ni jackrine "nikuulize wewe wakiranga kimekuwasha nini mpaka kuja kumpigia hodi mpenzi wangu asubuhi yote hii" jackrine alimjibj maria huku akitanua uwazi wa mlango kitendo kilichomfanya maria atupe jicho ndani nakuniona nikiwa nimelala tu nikiwasikiliza "muulize huyo?? mi nani yake atakujibu sio wewe kichefu chefu" maria nae alimjibu jackrine kwa mazarau "unajua tokea siku ile nilikuangalia tu ukaniona ni boyaaa au mi falaa sasa maria leo ndio utanijua vizuri" jackrine aliongea nakujifunga lubega khanga yake, "we si falaa tu unalazimisha mapenzi??! hupendwi hata ufanyeje jackrine," maria aliongeza sauti "WE MALAYA NDO WAKUNAMBIA MIMI SIPENDWI HAHAHAH!! AIBU HIVI NILVYO JEFF ASHINDWE KUNIPENDA AJE AKUPENDE WEWE USIEKUWA NA MBELE WALA NYUMA??" jackrine alimjibu tena maria, maneno yaliendelea yanakua ikafika wakati ilibidi niingilie tu niamue kesi, "jeff hebu sema leo ukweli kati yangu na jackrine ni yupi unaempenda?! sema ukweli jeff na mungu anakuona!!" maria aliongea na vile alivyomwepesi kulia machozi yalikuwa yakimshuka tu., "HIVI NIKWAMBIE MARA NGAPI MARIA SIKUPENDI? TOKA SIKU ILE NILIKWAMBIA JARIBU KUNISHAWISHI LAKINI HAKUNA CHOCHOTE CHA KUNISHAWISHI SIKUPENDI KAMA ULIKUWA HUJUI LEO NDOO UJUE UKWELI I HATE YOUUUU, NAKUCHUKIA!!!" NIlimwambia maria huku nikimkazia macho bila kung'amua ng'amua, "jeeeeeeeff????!" "USINIJUE KABISA NA KOMA USINIINGILIE KWENYE MAPENZI YANGU" nilimjibu "yani jeff umesahau kabisa ahadi yako ulisema utaishi nami? ulisema mimi ndio nitakua mkeo lakini kwanini umenifanyia hivi jeff? kisa jackrine unasahau ahadi zetu?? nilifanya makosa kukuamini jeff, na hii ndio naiona faida na matunda ya mapenzi yangu ahsante sana jeff," aliongea kwa uchungu maria huku akiendelea kulia "Jeff kweli jeff kwa mara nyingine unarudia kulimwaga chozi jicho langu?? asante sana jeff kwa kunipa funzo sasa nimeamini nyie wanaume sio wakuamini kabisa thank you so much and i love you" alisema maria huku akizidi kumwaga chozi "SIUMESHAAMBIWA HUPENDWI??? SIUENDE SASA KINACHOENDELEA KUKULIZA HAPA NINI??" jackrine aliongea kwa dharau "jeff kumbuka mapenzi yote niliyokupa, kumbuka jeff wakati wote mimi ndio mtu wa karibu tuliokuwa wote, kumbuka jeff, kumbuka..!!" maskini maria alizidi kutia simanzi kweli, alimpenda jeff lakini jeff ndio hivyo magube gube, "ACHA KUPOTEZA MUDA WAKO BURE KUJILIZA ONDOKA HAPA" nilizidi kumchochea maria "jackrine kumbuka kama mimi nilijitoa kwa kila kitu kwake lakini kanimwaga hata wewe yatakukuta we leo nicheke nisimange tu lakini ipo siku nawewe utalimwaga chozi kama ninavyomwaga mimi" maria aliongea kisha akaifuta gauni yake magotini nakusimama kisha akasema "sawa kwa vile umeshaamua hivyo niwatakie maisha mema kwenye mahusino yenu" aliongea maria kisha akaingia zake ndani niliutazama mwendo wa maria na vile alivyoingia ndani analia nikimuonea huruma kwani niliongea tu vile kumfurahisha jackrine lakini hata mimi maneno ya maria yalinichoma moyo, "ACHANA NAE HUYO HANA MAANA" jackrine alimalizia,
mchana haukuwa mzuri hata kidogo kwani siku hiyo maria alikuwa akifungasha virago arudi kwao singida aliandaa kila kitu nakuviweka tayari majira ya saa nane aliondoka na mlinzi wakaenda kukata tiketi ya basi n saa kumi walirudi, hakutaka hata kuniangalia tena alinipita kama choo cha jeshi, nilitamani hata nimzuie kidogo nimwambie kitu lakini haikuwezekana maria likuwa amedhamiria kabisa kuondoka na hakutaka kusikia chochote kutoka kwangu enyway isiwe kesi. niliondoka zangu nakumfata boss lady ambae kwa sasa amekuwa wakukaa ndani tu akisubilia apone, nikimwendea kisataarabu na baada ya salamu nilimpchika swali "ETI MADDAM NIPE NJIA LEO NIYAJUE MAHUSIANO" niliongea huku nikimtizama "mahusiano mwanangu ni wewe kukijikita sehemu moja ambyo unahisi sehemu hiyo itakupa faraja wakati wote, lakini mahusiano ili yapete afya ukweli unahitajika san, mwanangu! mahusiano ni hatua ya kuifikia ndoa kwani kwenye mahusiano ndio kuna mapenzi ya kweli, kwenye mahusiano kuna zawadi nyingi, kwenye mahusiano kuna mapenzi ya kweli, kwenye mahusiano ndo kuna unyenyekevu kuliko hata kwenye ndoa, zingatia hayo maamuzi magumu wakati flani itapokubidi, lakini pia kwenye mahusiano ndio wakati mzuri wa kuyajua mapungufu ya mwenzi wako,boresha uhusiano wako kwa kupenda kusema neno 'samahani' ikiwa utagundua kuwa umemkosea mwenzi wako" alisema boss lady maneno ya busara "na vipi kuhusu samahani?" nilimtupia swali lingine boss. nae boss akajibu "neno samahani niujumbe mzito kwenye kila sehemu, samahani kwenye mapenzi nikivuko cha amani, neno samahani huokoa penzi, zingatia sio bora kusema samahani ili yaishe sema samahani kufuta kosa na usirudie kosa" alisema boss lady hapo nilipata kitu kumbe namimi niende kumuomba samahani maria sio yaishe bali kulifuta kosa na nihakikishe sirudii kosa,
usiku wa saa mbili nilivizia watu wakiwa wameisha sebreni ule mda kabla jackrine ajaenda chumbani mwangu ili nikaitendee haki samahani niliofunzwana boss lady. kweli baada ya watu kupungua niliona ni mda muafaka kumfata maria kumwambia samahani ikiwezekana hata safari aghairi. nilisogea mlangoni mwake huku nikiwa nahofu kubwa kwani moyo ulikuwa unanisuta kwa kile nilichomfanyia asubuhi ya leo, nilitamani nigonge mlango, lakini nikawa nasita, "mungu nisaidie" nilimwomba mungu kisha nikabiga mlango lakini baada ya kupiga nilishtuka mlango ukifunguka wenyewe, nilijua kwa vile alikuwa na safariitakuwa aliuacha makusudi lakini nilipochungulia nilimuona maria akipanda kwenye stuli huku tayari akiwa amefunga kamba kwenhe dari ajinyonge.. kabla sijaingia nasikia tena sauti ya jackrine .
"we jeff unatafuta nini huko???..
#ITAENDELEA ..



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa