Nawashwa Chini 17 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, January 30, 2020

Nawashwa Chini 17






SIMULIZI - NAWASHWA UKU
SEHEMU - 17
ILIPOISHIA..
tuliishia pale ambapo mama, boss susan akitoa shindano kwa wanae watatu wa kike yani jackrine, morine pamoja na maria waingie kwenye free compatation nani ni nani kwani alijua wazi kila binti alishawishika na uzuri wa kijana jeff mwenye mvuto wa namna yake,
SONGA NAYO..
Mda rasmi uliwadia mabinti kila mtu kujipanga nakuungia kwa sera zake binti wa kwanza alikuwa ni maria, maria ambare nililionja utamu wa tunda lake na nilikiri hakuna binti alienona kama maria kulingana na jitihada zake alizozifanya wakati wa kufanya mapenzi mtaalamu kukitumia kiuno chake, mazuri matiti yake, umbo lake shape lake, tabasamu ongea yake ya mapozi kigugumizi na aibu kibao hizi ni sifa za binti mrembo binti la kinyaturu maria, nilizidi kujiuliza ni nani ambae angefanikiwa kuukonga moyo wangu mpaka kushawishika nakumkubari awe mke maana tumepewa siku tatu tu na boss lady huku akitoa angalizo kwa lolote lile haitakiwi adhurike mtu mwani ni shindano huru, nilijikalia bustanini nilipopazoea nikiwa na mawazo au nikiwa sina kazi kwenda kupumzika nilikaa zangu kwa ukimya huku nikizidi kumjadiri ambae atanifaa "maria tayari nimeshaujua ufundi wake na madhaifu yake kwenye mapenzi, ila jackrine sijamjua vizuri kutokana na ile tabia yake ya lazima nilishindwa kufanya nae mapenzi, lakini jackrine pia nimemuona ni mtu mwenye upendo sana sio sawa na maria, haya jackrine nae ni mrembo pia tena karangi kake kakitusi na pua yaje ndefu zile dimpozi akiongea na kutabasamu yani hatari na umbo lake kubwa la kinyarwanda nywele ndefu za kuteleza duh! huu mtihank kweli, jackrine sijamjua utaalamj wake wa kufanya mapenzi huenda akawa gogo kitandani, hya jackrine nimuache morine ndio kabisaaa cmjui maana singa nae mazoea yeye niwakukaaga ndani masaa ishirini n nne kutwa na headphone sa huyu hamna kitu, washindani hapa niwawili nawapa challange mpaka nijue nani ataekuwa mke bora kwangu," niliongea mwenyewe kisha nikakiegamiza kichwa changu kwenye majani na kuendelea kutazama juu, mda kidogo nikiwa nawazo tele nikiutikisa mguu pale pale nilipomkubalia jackrine ndio napo alikuja mtu wa kwanza kwenye shindano, alikuwa ni maria, taratibu alikaa kwa heshima zote huku akinitizama kwa kina kisha akafungua kinywa chake kilaini nakusema "jeff! mara zote nimekuwa nikiangusha chozi langu juu ya penzi lako, chozi ambalo linauthibitisha ukweri uliojificha ndani kabisa ya moyo wangu, mara nyingine huwa najiuliza hivi ni kwanini nakupenda sana kupita kiasi mpaka kufikia moyo wangu usiwaze kitu kingine zaidi ya kukuwaza jeff sijui ni uzuri ulionao ndio umenivutia zaidi? sijui ucheshi wako sijui ni mwili wako ulijengeka kimazoezi yani sijui tu kwanini nakupenda sana jeff, daah!! ila mwisho wa maswali yangu huwa naishia kuyajibu mwenyewe nakusema hakuna vitu katika hivyo nachokipenda zaidi ya upendo wa kweli jeff... upo tayari kunipa mapenzi kwa moyo wako mmoja huku ukifanya shindano ndio sehemu pekee ya sisi wawili kuwa huru??" aliuliza maria huku akinitizama kwa jicho la huruma lilokaa tayari kuaibiria jibu, nilikaa kimya kiasi kisha nikamjibu "sawa maria ushajielea mimi nimekwelewa ila jitihada zinabidi zifanyike ili tuwe karibu zaidi kwani mwanzo sikukupenda kabisa zaidi zile zilikuwa ni tamaa za ngono tu hebu zidisha vishawishi uuteke moyo wangu tuwe pamoja ila kwa hivi bado hujaweza kunishawishi, unataka niwe mumeo??.." nilimuuliza maria "hakujibu chochote bali alizidisha kunitazama tu, okey" bado siku tatu maria fanya juu chini boss pamoja na mimi ndio tuwe waamuzi wakuu ikiwa utashindwa kuuteka moyo wangu basi usinilaumu kwa uamuzi wangu" nilimjibu maria kwa hoja huku nikimtazama binti yule alieanza kudondosha chozi lake,
USIKU WAKE..
tulikuwa mezani kama familia tukipata chakuka cha usiku na baada ya kupata chakula cha pamoja usiku wengine walitawanyika kila mtu kwa njia yake boss lady aliniita niambatane nae chumbani na bila kutikisa bega niliambatana nae, tulipoingia chumbani boss alikaa kitandani huku nami nikimfata pale pale baada ya mimi kukaa boss susan alikishusha kichwa chake taratibu nakukitua mapajani mwangu kiaha akasema "jeff wewe ni kijana mzuri sana na ni mwenye akiri na maarifa kibao, umebalikiwa kila kitu ikiwepo elimu, uzuri tabia yako, yani tokea umefika nyumbani hapa umekuwa chanzo cha mimi kuwa na furaha mda wote, ila nilichogundua kuwa jeff nikijana mwema sana wewe kwa sasa najua sitoweza kufanya mapenzi kwa mda wa miezi sita kama vile nilivyoambiwa na dactar kupisha oparation niliofanyiwa, jackrine anakupenda sana na jackrine ndio binti pekee alifanya juu chini nakuyapambania maisha yangu kipindi kile hadi leo sijausahau wema wake, jackrine ni binti pia anaevumilia hari zote za kimaisha ni binti mwelewa sana ni binti niliemlea utotoni hadi hapo alipofikia hivyo namjua a to z, jeff muoe jackrine najua sio mwanangu wa kuzaa ila nampenda kuliko hata huyu niliemzaa, sababu ya kukuomba umuowe jackrine nimeshakwambia morine anazarau sana pia morine hanijari huwa haniheshimu mimi kama mama yake yeye kutwa miziki starehe anapenda binti yangu hivyo kwanwewe nisingependa kukuingiza katika shimo la majonzi kwani ndoa nzuri ni ile wawili mkielewana sio kila kukicha makelele kwa mienendo ya morine hamtawezana kabisa, jackrine ndio chaguo lako jackrone ndio malkia wako jackrine ndio atakuwa mfano bora kwa vijana wenzako wanaotaka kujiingiza kwenye ndoa najua jackrine hawezi kuniangusha kwa lolote, ondoa mawazo kbisa ya kumuwaza morine kama nilivyokwambia morine kisirani, morine jeuri,morine kiburi lakini pia morine ni mkorofi kupindukia, huo upole wako wako kijana wangu atakusumbua sana sitaki uje baadae ndoa yako ikawa ya mizozo na marumbano ukasema boss wangu alinichimbia shimo nakunizika mzkma hapana nataka baadae hata mi nikifa unikumbuke kuwa siku moja boss wangu alinipa wosia mzuri na leo nitamuenzi kwa kunichagulia mke mwema" boss lady alimaliza kuongea nilikuwa nikimsikiliza kwa umakini mkubwa maneno yake ya busara kabisa kisha nikamuuliza "sawa maddam hapo nimekuelewa lakini kwanini hujamzungumzia maria??" boss susan alikaa kimya kiasi kisha akasema "ah! ah! kwa maria sitazungumzia mengi kwaza maria anawivu sana hilo ni tatizo lake kubwa na alishawahi kumchoma mtu kisu huko kwao, afu pia maria anahasira za karibu sana na akishupalia jambo anatka liwe, sa kwa mtazamo wangu huyu binti hakufai" alisema boss susan.. nilikaa kimya kiasi nikimtizam boss wangu kisha nikamtupia swali "hebu maddam nipe wosia kuhusu ndoa sasa baada ya kuwa umeshanichagulia jiko nipe mwangaza kuhusu ndoa" boss alicheka kidogo kisha akatoa jibu hivi "kijana wangu ndoa ni safari ya uaminifu na matunzo mazuri ya mapenzi na hisia, maelewano baina ya wanandoa ni muhimu kuliko hata ndoa yenyewe ikiwa mtazionyesha hisia zenu ndani ya ndoa basi ndoa itakuwa salama hamna marumbano kati yenu wala hawatasikia majirani mkijibizana vibaya, ndoa ni sehemu inaotakiwa ujitambue kabisa na akili yako ifunguke kama ulikuwa ukichelewa kurudi nyumban kabla hujaoa basi ukoshaoa fanya kazi zako mapema na urudi nyumbani, muheshimu mkeo wako na umpe haki zote anazotakiwa ndani ya ndoa usiifanye ndoa ikawa ndoana kwa kumburuza mwenzio kama mzigo wa taka taka, ujue nini yapo mengi sana nitakufunza kijana wangu ili ufurahie ndoa usisikilize ka wale wachenzi wasiojja mapenzi wakisema ukioa unajizeesha leo naomba niishie hapa kesho nitakupa funzk kubwa zaidi likupasalo kulitunz ili ndoa yako iwe ya furaha," alisema boss kwa kuwa muda ulikuwa umetuta mkono ilinibidi niondoke chumbani mume nikiwa tayari nafunzo kubwa....
ITAENDELEA



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa