Nawashwa Chini 16 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, January 30, 2020

Nawashwa Chini 16





SIMULIZI -. Nawashwa uku

SEHEMU - 16
ILIPOISHIA..
kumbu kumbu za nyuma baada ya jeff kuondoka kwao alifanikiwa kupata kazi za nje ndani ya jumba la kifahari la boss susan mda ulipita nae boss susan alijikuta akiufungua moyo kwa kijana jeff, walifanya mapenzi na boss huku jackrine na maria pia wakimuwania kijana jeff, maria baada ya kuonja utamu wa jeff alikuta akinogewa hivyo alifanya wivu wa wazi wazi. lakini haikuishia hapo mda mrefu jackrine alijitahidi kumuonyesha hisia zake jeff lakini jeff hakujari mwisho wa siku jeff alimkubalia jackrine, baada ya kwichi kwichi jeff na boss wake, boss alishika mimba na aliposhika mimba tuliweza kuona namna gani mimba ile imeleta maafa kwani mume wake boss alikiwa akiwafatilia kimya kimya na mwisho wa siku aliweza kufanya maamuzi mazito ya kumchoma visu viwili tumboni mke wake afe na mimba yake, jeff pamoja na watu wote wa familia ya biss lady walimkimbiza hospital mawenzk hari ya boss ikiwa tete na mwisho wake tuliona majibu aliyoyatoa doctor kuwa boss susan hatupo nae duniani..
SONGA NAYO
...ilikuwa ni huzuni kwa kila mtu aliefika pale hospital kusikia boss susan amepoteza maisha hakuna alieamini, kila jicho la kila mtu halikuficha huzuni hiyo kubwa wengine walienda mbari zaidi wakilia kikabira na kulitaja jin leke alietia simanzi zaidi ni jackrine binti alielelewa kama mtoto wa damu na boss susan, nilimfata jackrine nakumkumbatia licha ya kuwa kazi ilikuwa ngumu sana kuweza kumdhibiti binti jackrine, doctor taratibu baada ya kutoa ujumbe ule alitoka taratibu nje na gafla alitushtua kwani alianza kukimbia kisha akafungua mlango nakuliendea gari lake dogo nakufungua mlango haraka kisha akaiwasha nakuondoka kabisa eneo lile, binafsi sikuielewa tafsiri ya doktari yule kufanya vile nilipuuzia nikaendelea kumliwaza jackrine, baada ya mda nilisimama nakuelekea chumba ambacho upo mwili wa boss wangu susan kwa majonzi niliingia nikiutazama ukiwa umelazwa juu ya kitanda na mule ndani kulikuwa kimya hakuna muuguzi hata mmoja aliekuwamo , nikisogea taratibu na kwenda kumshika mkono huku kwa uchungu nikiendelea kulia "boss wangu umeondoka umeniachaje boss? bado nilikuwa nahitaji matunzo yako, wewe ndio ungekuwa mwangaza kwangu lakini umeondoka nakuniacha gizani nisione nuru yeyote mbele yangu, boss mama hebu sema neno basi" nikizidi kuongea kwa uchungu huku nikikipiga kifua cha boss kwa uchungu bila kujua kama kuna nafasi iliokiwa imebaki y maisha ya boss susan "ongeaaaa!!! boss wangu mi niende wapi sasa nitapopata msaada kama wewe umekufa..!" nilizidi kukipiga kifua kwa hasira lakini gafla maajabu yalitendeka kitu ambacho sikuamini kama boss susan angerudi duniani, mashine zilizokuwa zikionyesha mapigo yake zote zilikua kama zimezima lakini gafla mishale ikaanza kuonekana ikipanda nakushuka kwa kasi na hapo boss susan alizinduka kama mtu aliena pepo kwani alianza kukiinua kiuno chake huku pumzi ikimbana nikijiongeza haraka baada yakuona kifa maalumu alichovishwa nacho mdomoni na puani (oxygen) kikiwa kimechomoka nilikirudisha haraka kisha nikatoka nakimbia mpaka mapokezi mbapo nilimkuta nesi aliebaki "NESI NESI..!! MGONJWA KAZINDUKA" nilifika nakumnynyua nesi haraka kurudi kwenye chumba kile alipo boss lady susan, tuliwapita wale watu wakilia situkiwa haraka kuingia chumbani mule, baad ya kuingia nesi alivalia groves hraka na kutfuta bimba za sindano kisha akachukua dawa haraka na kuifyonza kisha akamdunda nayo boss lady hapo taratibu boss lady lianza kushusha pumzi na baada ya mda kidogo alituloa na pumzi yake ikawa wastani. tulikaa kwa mda tukimuangalia nae nesi alikuwa attantion huku jicho lake likiwa makini kumwangalia mgonjwa na baada ya dakika kadhaa alinitoa chemba kidogo tukawa fargha kisha akasema "poleni sana..!" alisema nesi yule ambae jina lake lilionekana kwenye kitambulisho chake kama mariam fikiri "tumeshapoa dada angu" nilimjibu huku nikimtazama usoni, nessi mariam alikaa kimya kiasi kisha akasema "najiona ni mwenye hatia sana juu y hili" alisema ness "kwani unasema hivyo" nilimuuliza "hili nililijua mapema sema sikutaka kutoa siri kwa kuwa doctor alikiwa akinizonga kila nilipokuwa nakukaribia alijua nitaitoa siri," "siri??? siri gani??" nilimuuliza tena "usiku wa leo nilichelewa kutoka zamu kwa kuwa nilikuwa namiadi na dada angu, kabla sijaondoka alikuja mtu akiwa ametapakaa damu nguo zake zote, mtu yule alikuwa spidi sana nilipishana nae mlangoni yeye akiingia mimi natoka lakini baada yakuona nikama mtu asieleweka nilirudi nakuanza kumfatilia anapokwenda niliona anaingia moja kwa moja kwenye chumba cha daktari sikujua ameingia kutafuta nini wakati hajapita mapokezi nilisimama kwa mda kuangalia nyenendo zao lakini baada yakuona ukimya kwa mda mrefu ilibidi nisogee mlangoni ningalie kwa ndani kinachoendelea nilipo sogea, nilisikia yule mtu akisema "hakikisha anakufa kabisa asibaki mzima mi najua hospital iliopo karibu ni hii pekee lazima waje watamleta hapa hakikisha anakufa kabisa" yule mtu alitoa maelezo kish doctor nae akaongea nikamsikia akisema "ipo shingapi?" yule mtu akamjibu "kuna laki tano hizi hapa ila ukimaliza kazi nakupa laki tano nyingine" alisema yule mtu kisha nikachungulia nilimuona doctor akipokea hiyo hela nakuiweka kwenye briskeff yake kisha akaahidi ataifanya hiyo kazi, mimi nikibaki nikijiuliza ni nani huyo anayetakiwa kufa sikupata jibu, nilijificha ili wasijue kama nimeijua siri yao nilivunga kabisa lakini baada ya kuwaona mkij na mgonjwa aliechomw kisu hapo tafsiri ya kile nilichokisikia ndio nikagundua nilijitahidi namna gani nimsaidie mama yule kwa kuwa nimeshajua ukweli, aliponiomba sindano ya ganzi nilimpa alimchoma na baada ya oparation kwenda sawa alitoa bomba badala aniombe sindano ya usingzi alitoa sindano tofauti yani alitka kumchoma sindano ya maiti ya kuzuia maiti isioze nilimzonga mule ikawa fujo bahati nzuri ike sindano ilianguka nilivyoona imeanguka mimi niliiona niliiokota nakuificha kisha nikampa sindano ya usingzi bila kujua alimchoma akiamini kama ndio ile kwa kuwa mabomba yalikuwa yanafanana, alipomaliza alijua wazi hawezi kupona ndio mda huo akaja kutoa taarifa ya uongo kuwa amekufa lakini ni mzima kabisa sema inahitajika haraka atolewe hapa kwani sio sehemu salama" nesi alimaliza kutoa ushuhuda wake nilijikuta nikishuka chini na kumshika miguu ness huyo aliejitolea kuyatetea maisha ya boss lady, "ahsante sana ness sana ness kwa moyo wako mzuri mi sina cha kukulipa mungu atakulipa ness" "aah!! usijari kikubwa nyie muondoke haraka hapa" alisema nesi yule niliamka haraka nakumfata mlinzi kisha tukambeba boss wetu kiuficho nakumtoa kwenye hospitari hiyo kabisa jackrine na morine bado hawakujua kitu kilichokuwa kinaendelea tuliwafich ili waendelee kulia iwe rahisi kupita getini baada ya kuvuka geti la mawenzi tulimpigia simu daktari wa boss, tulimpa mkasa mzima tokea mwanzo mpaka mwisho hivyo alituomba tumpeleke fraja ilirejea tena kwa ndugu jamaa wa karibu wote waliojua boss kafa, jackrine alijitolea group lake la damu kwa kuwa alikua na group o nae boss alikuwa nalo hilo hilo, matibabu salama yalifanyika chini ya doktar bingwa, na htimae boss lady alianza kurejea katika hali yake ya kawaida,
...MIEZI MIWILI BAADAE..
siku hiyo tulikuwa mezani familia nzima nami nikipandishwa cheo kutoka kuwa house boy nakufanywa mmoja wa familia siku hiyo mama aliamua kutoa mpya kwani baada ya kumaliza kula alisema "anataka mkwe ndani ya familia yake huku akiruhusu ushindani nae alijivua kabisa hakutaja tena tufanye mapenzi kwani ilimpelekea pabaya al manusura apoteze maisha," shindano la wadada watatu linaruhusiwa ndani ya muwasho nani ni nani? nani ataefanikiwa kuolewa na jeff hebu sema we unafikri nank atakuwa chaguo la jeff kati ya mabinti wale watatu jackrine, marry (maria) morine????



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa