Nawashwa Chini 14 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, January 30, 2020

Nawashwa Chini 14







SEHEMU - 14. Ukunpanawasha
ILIPOISHIA..
uliweza kuona jinsi boss lady alivyoamua kuitoa siri nzito aliodumu nayo zaidi ya miaka ishirini morine aliyatibua mama akayatoa yote ya nyuma miaka ishirini iliopita, aliongea mengi bila kujua kuna mtu wa ziada ambae pia alisikia jambo zito ambalo hakuwahi kulifikili makshani mwake, alikuwa ni jackrine aliekiangusha kilio huku akigaa gaa kwa uchungu,
SONGA NAYO..
jackrine alizidi kulia bila mipaka huku akilitaja neno mamaa kila alipokuwa akilia. ulikuwa ni uchungu na simanzi kwa mabinti hao ambao hawakujua kabisa kama wao sio ndugu, jackrine alilia kwa uchungu huku morine akijitahidi kumtuliza jackrine lakini zoezi lilionekana kuwa gumu kwani jackrine alikiwa akirusha mikono na miguu pale aliposogekewa na kila mtu, "jeff jaribu wewe labda atakuelewa" boss lady aliongea huku akijifuta machozi yalikuwa yamemtapakaa uso mzima, nilijisogeza pale taratibu kisha nikamgusa bega jackrine, alionekana kupoa, nilikaa chini kisha nikamkumbatia nae aliachia mikono yake nakunikumbatia huku machozi yake yakiendelea kunimwagikia mgongoni, "jeff mi ni nani sasa?? na nina umuhimu gani sasa kwenye hii dunia??" jackrine aliuliza huku akiendelea kutotwa na kwikwi "hamna jackrine usiseme hivyo relux, kabisa fanya kama vile hakuna ulichokisikia, mimi nipo nawewe bega kwa bega jackrine hakuna kitu kitachoharibika" nilimpa moyo jackrine huku nikimpiga taratibu mgongoni kama katoto "kuna watu wapo mpaka leo hawawajui wazazi wao sio wewe tu jackrine wapo wengi ukisema ulie utalia mpka lini na hata ukilia sio kwamba huko alipo atarudi we fanya kumuombea munhu ampumzishe salama, usilie sana jackrine utamkufuru mungu" nilizidi kumliwaza kwa kuwa jackrine pia alikuwa ananipenda alisikiliza vizuri na kunielewa,
BAADA YA MWEZI MMOJA KUPITA.
Maisha yaliendelea na siri tuliliendelea kuificha,na mimba ya boss susan ilianza kuonekana kwa mbari lakini kutokana na umbo lame la unene aliokuwa nalo boss haikuwa rahisi kujua kama anamimba kutokana na tumbo lake kuwa kubwa, siku hiyo yakiwa majira ya saa nane mchana nikiwa nimepumzika pale garden alikuja jackrine akiwa ameficha mikono nyuma nilimtizama sana huku akili yangu ikiwa imeelekea tu kwenye hio mikono alioificha alipofika aliufungua mkono mmoja kisha akanifumba macho nakusema "unaweza kujua maana yake hii" aliuliza jackrine huku akiendelea kuninana macho na kifua chake kikiwa kinautekenya mgongo wangu "hapana umenifumba macho siwezi kujua" nilimjibu "hahahah we kadilia ni zawadi gani nzuri itayokupendeza?" bado jackrine alizidi kunitania huku taratibu akiachia ule mkono aliokuwa amenifumba macho, "enhee!! haya tayari nimekwachia sema sasa??" "mmmmh!!! mmmmmmmh!!!! mh! hata cjui," nilimjibu jackrine alicheka kisha akajiachia na kuniangukia kifuani, akawa juu yangu akinitizama kwa jicho la mahaba lilojaa ushawishi mkubwa "Sina zawadi yoyote zaidi ya kusema nakupenda jeff" aliongea jackrine huku akiusogeza mdomo wake ili zikitane katikati na baada ya kukutana ni denda, "nakupenda pia" nilimjibu jackrine baada ya mda mrefu kuwa nikimzungusha leo nimejikuta moyo ukiruhusu hisia za kweli kwa binti jackrine, "unasema kweli jeff???" binti jackrine aliuliza kwa mshangao kwani hakuamini kama siku moja atweza kusikia jibu la ndio kutoka kwangu, alijikuta chozi la furaha likianza kumdondoka binti yule bila idadi matone ya machozi yalinidondokea kifuani "yeas jackrine nakupenda huu ndio ukweli wa nafsi yangu, I LOVE YOU JACKRINE" niliongea na kurudia tena maneno yale yale jackrine alitua kifuani mwangu huku akilia kisha akasema "thank you so much sikuwahi kulifikiria hili jeff sema tena kama unanipenda??" aliuliza tena jackrine "I LOVE YOUUUUU" Niliongea tena kwa kulisisitiza zaidi kisha nikampa mdomo jackrine nakumpiga busu la moto.. kisha tukakaa kupiga stori,
mda ulipita na usiku ulifika nilikuwa ndani nimekaa naangalia movie, mda kidogo kwa nje nikaanza kusikia kelele za jackrine pamoja na maria wakirumbana sikutaka kuyafatilia mazungumzo yao zaidi kwa kuwa ilikuwa ni usiku na boss lady akiwa ndani ya chumba chake amejipumzisha, ili kuepukana na kelele za mabinti hao niliongeza sauti ya bufa ili niweke kizuizi kabisa nisipate kusikia kelele zao, niliendelea kuangalia movie kama kawaida lakini haikupita muda gafla niliskia mlango wa kuingilia ndani ukisukumwa kwa nguvu haraka niligeuka kumtazama aliesukuma ule mlango kiasi kile nikijua huenda macho yangu yangekutana na jackrine au maria lakini alikuwa boss antony alieonekana akiwa amefula kwa hasira huku mkononi akiwa amebeba kitu kilichokunjwa kwenye kitambaa cheupe, alipitiliza moja kwa moja mpaka chumbani kwao. na mda huo huo jackrine pamoja na maria waliingia ndani wakiwa wanakimbia "jeff kisuu nimemuona baba anakisu?? jackrine aliongea huku akipiga piga miguu chini, "kweli jeff hata mi nimemuona anakisu??!!" maria nae alirudia vile vile nilishtuka kusikia hivyo mawazo ya haraka yaliniingia huenda boss lady akawa matatizoni nilisimama haraka huku nikifuatana na maria pamoja na jackrine kuwahi chumbani kwa boss kuangaloa usalama hatujafika mbari tulimuona boss antony akitoka huku amelowa damu kifuani na sehemu mifuko ya suruali kwa chini huku akitililika jasho alitupiga vikumbo kisha akatoka spidi kama mtu alieheuka, mioyo yetu ilishtuka na shauku ya kujua ndani kimetokea nini ilizidi kabla hatujaanza kujianyaga hatua kusogelea mlango kwa chini vilionekana vidole vikitangulia kwa kujivut chini sakafuni kutoka katika chumba kile cha boss lady,
ITAENDELEA



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa