Nawashwa Chini 13 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, January 30, 2020

Nawashwa Chini 13






SEHEMU - 13
#ILIPOISHIA ..
Tuliishia pale ambapo jeff alimfuma boss lady akiwa anatapika kisha akamsogelea nakumuuliza tatizo nini boss alifanya kuficha lakini baada ya jeff kumbana zaidi mwisho alitoboa siri, wakati anatoboa hiyo siri bila kujua kuna mtu aliekuwa anawasikia ni nani huyo??
#SONGA NAYO
sauti za makofi ya pongezi ziliendelea kusikika zikitokea mgongoni mwetu,huku nyonyo zilizotapakaa wasi wasi zilizidi zilitunzunguka kati yetu, tulizigeuza shingo kwa pamoja tumuone ni nani aliesikia siri hiyo, alikuwa ni mkubwa wa jackrine morine ndie aliesikia mwanzo hadi mwisho wa maongezi "haya kuna jambo la kuficha tenaa?" morine aliuliza huku akiwa amenikazia jicho baya, hakuna alieweza kujibu swali lile haraka, "we jeff..!!" aliniita morine kwa aibu kubwa nikaitikia "naam!!" kisha morine akazidi kuongea huku akituzunguka zunguka "daah!! siamini na sitaki kuamini hiki nilichokisikia, hivi we jeff ni wakufanya mapenzi na mtu alie lika na mama yako tena huenda akawa zaidi ya mama yako?. afu..!! yani hata sijui nisemeje hii mama umetutia aibu tena aibu kubwa sana mama hivi majirani wakisikia watakuchuliaje? kwani baba hakutoshelezi mpaka ufanye mapenzi na mfanya kazi wako yani house boy kweli mama? unafanya mapenzi na kijakazi kweli??" morine aliongea kwa uchungu huku akidondosha kiminika chake baada ya jicho kushindwa kuhimili maumivu yale.. "hapana usiseme hivyo morine" boss aliongea kwa uchungu huku nae machozi yakimtoka "KWANINI MAMA UMEFANYA HIVYO LAKINI MAMA ANGU?? WANAUME WENGINE WENGINE ULIKOSA MPAKA UZAE NA MTOTO MDOGO HIVI MAMA?? HEBU SEMA MAMA LEO USO WANGU NIULEKEZE WAPI?? JEFF NI MDOGO HATA MIMI NAMZIDI NDIO LEO AMEKUPACHIKA MIMBA?? HII NI AIBU MAMA" morine aliongeza kilio na nguvu za kuendelea kusimama ziliisha akajikuta mwili ukilegea na kukosa nguvu ya kujimudu alianguka chini nakugaagaa kwa uchungu mkubwa "Morine mwanangu hujui lolote lile" boss alijikakamua nakusema huku akijifuta machozi kisha akasema "UNATAKA KUJUA SABABU ETI? KWANINI MIMI NIMEFANYA HILI NA HUYU KIJANA? NJOO NIFATE??" boss lady aliongea kwa uchungu kisha akasimama kutuongoza njia mpaka kwenye chumba kimoja alichokifunga kwa mda mrefu na ufunguo wa kufuri lile alikuwa nao mmoja tena alikuwa akitembea nao peke yake, tuliingia kwenye chumba kile kilichokuwa na vumbi na utandu wa bui bui kila sehemu, chumba kile kilionekana mwanzo kuwa ni makazi ya mtu, boss alifungua mlango mmoja wa kabati na kuibuka na kiboksi kidogo kisha akatoa album moja hivi iliokuwa imejaa picha kisha haraka akaifungua nakutoa picha moja iliokuwa na watu watatu na hapo alianza kuitolea maelezo "nimekuficha kwa mda mrefu sana mwanangu hili hukulijua sasa leo ndio nikueleweshe, baba yako ni ndio huyu na hako katoto kadogo alikokabeba ndio wewe ukiwa na miezi kumi na moja, baba yako alikuwa ni house boy alikuwa akifanya kazi nyumbani kwetu, baba yako nilimpenda lakini wazazi wangu waliweka vikwazo vingi baada ya kujulikana na mahusiano nae ya kimapenzi walikataa nisiolewe nae kisa yeye ni mtumishi wa nje, nilikubari kumpa penzi ili tu nipate mimba iwe rahisi kuolewa kwa kufikilia wazazi wangenikubalia lakini haikuwa hivyo, baada ya wazazi kujua na mimba ya yasini baba yako, walitufukuza kama mbwa, niliishi maisha ya tabu sana nikiwa na baba yako, baba yako aliparangana huku na kule mpaka akafanikiwa kupata kazi ya kuuza magazeti dar, alidumu kwa muda mrefu huku akijitahidi kuitunza mimba, tulifanikiwa kujenga kaslop kadogo eneo hili hili nami nikiwa na mimba yako nilikuwa nikiuza mahindi ya kuchoma ili tu nimpunguzie kazi mume wangu, licha ya kuwa na elimu yangu ya kutosha tu kufanya kazi sehemu za juu lakini nilijikuta nikishia kuolewa na yasin asiekuw na kitu chochote, hela alioipata baba yako aliwekeza kwenye ujenzi nakuitunza mimba ikafikia muda nikajifungua wazazi hawakutaka hata kunijulia hali wala maelezo yeyote kuhusu mimi, na baba yako ndio aliekuita hilo jina 'morine' muunganyiko ya majina ya familia yangu na yake, baada ya miezi kumi na moja tokea nimekuzaa baba ako siku hiyo akiwa amekwandalia zawadi alipata ajari na kugongwa na gari akapoteza maisha papo hapo, ulikuwa msiba mkubwa sana kwangu nikiwaza nitakutunzaje ingali we ni mchanga, kila nikigonga hodi kwenye milango ya ndugu zangu wanisaidie wote walinikana na hakuna alienisadia, alikuwepo rafiki yangu wa kike tulikuwa marafiki sana alinipa taarifa kuna kampuni la kuuza maji ya sequa limefunguliwa hivyo niende na vyeti vyangu nikatafute kazi, nilienda nyumbani nakuchukua cheti changu huku baba na mama wakinitupia mizigo yote wakisema nisikanyage tena kwao, mwanangu morine niliteseka sana! kukulea na hata nilipopata kazi aliekuwa akikutunza latipha rafiki yangu alikufa nae akiacha mtoto mdogo wa kike, huyo ndio jackrine kama ulikuwa hujui jackrine sio mwanangu, ni mtoto wa rafiki yangu kabla hajakata roho hospital aliniomba sana nimchukue mwane nimlee kama mwanangu, kuna siri kubwa kuhusu kuachiwa huyu jackrine, baada vitu vyote kupita nilikuchukua wewe na jackrine na kuwapeleka kwa bibi yake yasin huko lindi, bahati nzuri nilipata kazi huko lindi nikawa naingiza pesa ndefu kwa mwezi nikahakikisha kwa bibi lindi najenga vizuri kisha nikarudi huku kuiendeleza hii nyumba, nilibomoa na kujenga upya huku hiki chumba nikikitenga kabisa kwani ndio chumba ambacho we morine ndio nimekuzalia humu, nilijitahidi nikiwa na nyie mpaka nikaweza kuijenga hiii nyumba ya baba yako kuwa hivi sikutaka kuolewa na mwanaume yeyote yule, baadae nilimpata huyu antony alienisadia kununua magari tu, lakini kila kitu ni changu sa antony shida yake hana matunda nimeishi nae huu mwaka wa tano lakini mpaka sasa hatujafanikiwa kupata mtoto, alivyokuja huyu kijana nilijikuta nikimpenda sana na nilifanya kusudi anipe matunda ndio hivi sasa mwezi mmoja tu lakini matunda yameonekana, haya nimeanzia mbari ili ujue sababu ya mimi kuzaa na huyu kijana na ili mume wangu asijue kama mimba sio yake ndio nikaamua kuifanya iwe siri" boss lady alitoa leo mpya kabisa ambyo binafsi sikuwahi kufikilia kitu kama hicho, ni msiba tena kwa binti morine baada ya kuujua ukweli alibaki kulia tu maskini akiikumbatia ile picha ya baba ake "nisamehe mama bure kwa kuongea ujinga bila kujua lakini kwanini uliendelea kunificha mda wote huo mama angu??" morine alizidi kulia kwa uchungu huku machozi yote yakiishia kuangukia kwenye picha ya baba ake "babaaaa....!! baaaabaa mbona baba uliondoka nakuniacha mdogo?? mwanao sasa nimekuwa hata mara moja baba njoo unioeee..ne!!" morine alizidi kulia kwa kwiki, lakini tukiwa hatuna hili wala lile tulishtukia tukisikia kilio kikubwa kwa nje cha uchungu kuliko hata sisi tuliokuwa ndani.. maskini boss kwa mda wote alimficha jackrine kumbe wakati anatoa ile stori jackrine aliisikia mwanzo mpaka mwisho,
ITAENDELEA



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa