KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA KUMI NA TISA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, January 4, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA KUMI NA TISA







ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA NANE: alijibu Pross, huku anacheka cheka kwa aibu, huku macho yake yaki ibia kumtazama boss wake,na kumkumbusha mambo ya jana, “wee! acha uongo, au aunamatatizo?” aliuliza Rose kwa shangao huku akipeleka macho yake kwenye uswa wa dudu ya Pross, na kuona kama kuna dalili ya dudu kuvimba, “matatizo gani, kwani kuto kuwa na mwanamke ni matatizo?” aliuliza Pross huku anacheka cheka, “inamaana unasimamisha vizuri tu!” aliuliza Rose kwa mshangao, hapo Pross akaitikia kwa kichwa kukubali kuwa dudu yake inasimama vizuri, “mmh! aiwezekani, ngoja nikaone mwenyewe” alisema Rose, lakini ………. endelea …..
Alijiosemeakimoyo moyo, huku anatazama mbele, na kuzidi kuongoza gari, na wakati huo akasikia mlio wa sms ya whatsaap kwenye simu yake, aka ichukuwa na kutazama, ilikuwa ni ujumbe wa video kutoka kwa Adellah, “mungu wangu” alisema Rose mala baada ya kuona aina ya video aliyo tumiwa, ilikuwa ni video ambayo, ilimwonyesha akiwa pale makuti bar, ana mfumania Kipanta, ikiambatana na maandishi, “umesha tembeea nae?” ukweli japo Rose alionekana kuvulugwa na ile sms, lakini akuangaika kuijibu, aka iweka simu pembeni, na kuendeleea kuendesha gari, huku mida wote Pross, akijiiba kutazama umbo la mwana dada huyu ambae leo alivalia suruali ya jinsi, iliyo mshika mwili,na kuchora bahadhi ya viungo nyeti vya mwili wa mwanadada huyu, ambae pia aligundua kuwa Pross ana ibia kumtazama, lakini kutokana na kuchanganywa na ujumbe alio tumiwa na Adellah, “jamani wamesha juwa mala hii” alisema Rose kwa sauti ya chini, ambayo ata Pross aliisikia na kujuwa kuwa Rose alikuwa anajisemea peke yake, “Boss kwanini unaongea mwenyew, kuna taharifa mbaya umepokea?” aliuliza Pross, huku akimtazama boss wake usoni, ambae wakati huo nae alimtazama Pross, na macho yao yaka kutana wakatabasamuliana, “ujinga wa yule kibabu ndio ume niletea matatizo”: alisema Rose, na kumfanya Pross ahisi kuwa mausiano ya Rose na mzee Kipanta yana lege lega, unazania kwanini Rosemary alishtuka sana baada ya kuona ujumbe huo, toka kwa Adellah, na Adellah ni nani, nazani tuendelee akuwa pamoja, ili kujuwa zaidi.*******
Naam licha ya kufumaniwa na Rose, lakini Kipanta na Matrida waliokuwepo pal Luguruni, kwenye hotel nyingine, ndio kwanza mapenzi yao yalizidi kupamba moto, na walikunywa kwa fujo bila kujari, kesho itakuwaje, walikunywa kiasi cha anza kulewa kwafujo, huku kila mmoja akimpania mwenzie wazi wazi, kuhusu mchezo watakao ucheza usiku, ilifikia kipindi, walijikuta wanakuwa kivuto kwa wateja wenzao wwaliokuwa jirani, pamoja na mwana dada mmoja mhudumu alie kuwa anawahudumia, na kuwa sikiliza maongezi yao kwa umakini mkubwa sana, “yani baby jiandae, lakini leo sianzi kukunyonya, utani ni chafua mdomoni” alisema Matrida, kwa sauti ya kilevi, sijuwi kwa nini walilewa hivi, sababu siyo kawaida ya Matrida kule kijinga, pengine ni kwaajili ya furaha, “hilo tu, wala usiwe na wasi wasi, leo nitaanza mimi” alisema Kipanta, na kuendelea kunywa pombe zao, na vyakula walivyo itaji, japo ilikuwa kama ni kuchezea, maana waligusa gusa gusa na kuacha.
Licha ya kunywa na kuwa na akiba ya kutosha kwa starehe zao, lakini kuna wakati walienda tena kutoa fedha zaidi, hizo zikiwa ni za Matrida, Kipanta alitazama salio na kulipuuzia, naam muda wote wanayafanya hayo awakujuwa kuwa kuna mtu alisha anza kuwa fwatilia, akiamini kuwa bwana Kipanta anafedha nyingi sana, ambazo akizipata anaweza kufanikiwa kimaisha, mtu huyu anaitwa Waghora, ambae alipewa mchongo huo na mdada mmoja alie kuwa ana wahudumia kwenye hii bar waliyo hamia, yani hapa Luguruni, huyu siyo mwingine huyu anaitwa Sinder, likiwa ni jina lake harisi, lakini hapa bar walikuwa wana mfahamu kwa jina la Janeth, mdada huyu ambae amesha shiriki mala nyingi kutoa ramani za wateja wao, wenye fedha na kuwaibia, akimtumia mpenzi wake wa siku nyingi, bwana Waghora, ambae yupo tayari kumwacha mpenzi huyu, afanye lolote ili wapate fedha, ikiwa ni pamoja na kumruhusu alale na mwanaume yoyote mwenye nazo, na wakati mwingine kuwaibia huko huko chumbani, au Janeth akiwa laghai wanaume hao kuwa wahame guest, na kwenda guest nyingine, kwa kisngizio kuwa pale hawaluhusiwi, kulala vyumba vya wageni, na wakikubari, ana wapitisha kwenye chochoro na mshtua mpenzi wake Waghora, ambae ana jifanya kama kibaka wa kawaida kuwa amewaotea na kukaba, kisha kuanza kumpora mwanaume na kisha kumpora demu wake, vitu ambavyo baadae ange mrudishia.********
Mama Pross akiwa na wanae wawili na mdogo wake, yani mama mdogo, walisherehekea vizuri sana, Chrismass, mama mdogo alisha sahau tukio la kulala kitanda kimoja na mtoto wa kambo wa dada yake, kwa sasa ata wakikutana, akuwa anamwonea aibu tena, upande wa mama Pross, kitendo cha jana kuwa simulia mkasa wake na mume wake, kili kuwa kama kime mtonesha kidonda, maana alishaanza kusahau, habari za bwana Feruz, japoalionekana kuchangamka akishrehekea Chrismass, na watoto wake, lakini ndani ya moyo wake alikuwa ana waza sana juu ya mume wake na akujuwa maisha anayo ishi, japo alijuwa kuwa anaishi maisha mazuri kutokana na fedha azo zipata kama kiinua mgongo chake, “namshukuru sana Pross, huyu mtoto amekuja kwangu kama zawadi” aliwaza mama huyu, ambae ni kama nusu mjane, maana licha ya Pross kuwa saidia uwezo wa kuanzisha genge, lakini pia alikuwa ana watumia fedha za maitajio mbali mbali, ikiwa ni chakula vinywaji na nguo za siku kuu, ungesema yeye ndie baba wa familia, alafu eti ni mtoto wa kambo.******
Safari ya wawili awa yani Pross na Rosemary, iliishia mbele ya kibanda cha Pross, ndani ya shamba la mwana dada Rose, ambapo wote walishuka, na Rose akafungua mlango wa gari wa nyuma kabisa, hapo Pross akaanza kushusha mizigo iliyo kuwepo nyuma ya gari, ikiwepo kiloba cha unga, mafuta ya kupikia, na sukari, na mazaga mengine kibao, na kilicho mshangaza Pross kitendo cha Rose kumsaidia kushusha mizigo, “Boss hapana we acha tu! mi nita shusha” alisema Pross, akimzuwia Rose, “wala usijari Pross, wacha nikusaidie kwani nitapungukiwa nini?” alisema Rose akibeba mfuko ambao ndani yake ulikuwa na sukari, na kuingia nao ndani, ikiwa ni kwamala ya kwanza kuingia ndani ya kibanda kile, ambacho kilikuwa na giza totolo, “mbona kuna giza hivi, alafu mchana?” aliuliza Rose, akimwuliza Pross alie kuwa bado yupo nje, huku ana washa tochi ya kwenye simu yake ya kisasa, “mpaka niwashe taa” alisema Pross huku anaingia na mfuko wa maharage, na kumkuta Rose anatazama tazaa mle ndani, “wahooo! hivi vitu ume umejinunulia mwenyewe?” aliuliza Rose, kwa sauti ya mshangao wa mastaajabu, na zani sana sana alikuwa anaulizia kitanda, sababu akukuwa na kitu cha hajabu mle ndani, ambacho yeye angekiona cha maana, kulinganisha na nyumbani kwake, “nataka nikitoka hapa nikapange” alisema Pross, huku anacheka cheka, “mh! kumbe unakunywa pombe?” aliuliza Rose kwa mashngao huku akiifwata meza ambayo juu yake licha vitu livyo kuwepo pia kulikuwa na chupa ya wine, na alipoitazama ilikuwa na wine kidogo, hapo Pross akajuwa kuwa anaeleka kuaribu, maana kwa ujio wa yule mama na mazaga anayo mfungashiaga, Rose akijuwa ni tatizo, “nakunywaga kidogo” alijibu Pross pasipo kujuwa kuwa jibu la kukubari kuwa anakunywa linge sababisha jambo jingin, ambalo linge zaa matunda, ya ajabu, “umenunua wapi hii wine?” aliuliza Rose, huku ana igeuza geuza ile chupa na mwisho akaiweka mezani, hapo Pross akajuwa akijibu kipuuzi, lita fwata swali la bei, maana bado Boss wake alionyesha kushangaa, “hiyo kuna wateja walifika kuchukuwa mka jana, ndio wakaniachia” aljibu Pross kuepusha maswali mengi, lakini aikuwa dawa, “wateja wenyewe ni wakike au wakiume” aliuliza Rose huku wanaongozana kutoka nje, huku Rose akitazama, nyayo mbele ya eneo la mbele la nyumba hii, ambapo vilionekana viatu vya kile, na matairi ya gari, hapo Pross akaumiza kichwa haraka haraka, “mhhhh! wakike na wakiume, yani mbaba na mmama” alijibu Pross, akiongozana na Rose kwenda kwenye gari, “basi leo Chrismass itakuwa nzuri zaidi” alisema Rose huku anatabasamu, kiasi cha kumfanya Pross ashangae huku ana anashusha pumzi ya afadhari, na alikuja kupata jibu la kwanini Rose anasema kuwa leo Chrissmass itakuwa nzuri, maana alimwona ana toa chupa za wine, na mfuko mmoja mkubwa sana, ambao ulikuwa una nukiavyakula, na alufu iliyo toa kipaumbele ni nyama choma, “washa moto tuipashe nyama, huku tuna kunywa wine yetu” alisema Rose, hapo Pross akajikuta anaanza kukumbuka mambo yajana, yalivyi kuwa, na mwanamama Stellah, kiasi cha kujikuta anawaza ngono kwa muda mrefu, “lakini Boss, mvua ikija utashindwa kuondoka, siunaona ardhi yenyewe ilivyo?” alisema Pross akijaribu kuchukuwa uzowefu wa jana, kwa stellah” Rose akatazama juu, kweli aliona kuna dalili kubwa ya kwamba mvua ungenyesha baadae, “wala usijari, kwani siluhusiwi kulala hapa?” aliuliza Rose huku anacheka cheka, huku anajaribu kukusanya mizigo yake toka ndani yagari, “unaluhusiwa, lakini….” alitaka kusema Pross, huku anampokea mfuko na bahadhi ya Chupa za wine, “lakini nini bwana, weka chini ya mwembe alafu kachukuwe ule mkeka wako, uuweke hapa kimvulini, alafu uniambie lakini nini” alisema Rose kwa sauti flani iliyo jaa utani, nakuto kujari, hapo Pross akiwa anajuwa kuwa leo ni kama jana akaweka ile mizgo karibu na gogo la kukalia, pale chini ya mwembe na kuelekea ndani, akujuwa kama Rose ana mfwatilia kwa macho, “mh! kweli kijana kama huyu awe mzima kabisa, alafu asiwe na demu kwa umri huu?” aliwaza Rose, huku pia akikumbuka kuwa, kuna msala amesha usababisha.******
Naam video za tukio la fumani ka Rose ziliendelea kusambaa, huku watu wengi wanao mfahamu wakimsikitikia Rose na wengi waki shangilia tukio hilo, kutokana na sababu mbali mbali, wengine walisema afadhari, maana anajidai sana, na wengine walisema afadhari maana na yeye aliiba mume wa mtu, video hii ilimfikia mmmoja wa walimu wenzake na Stellah, ambae alishtushwa sana na tukio ilo, na kuamua kumweleza Stellah, kama amesikia lolote juu ya tukio ilo, “kwani kuna nini, mana kwakweli nikama sina mume” alisema Stellah ambae alikuwa amesha maliza chupa moja ya wine, hapo mwenxie akamweleza juu ya video zinazo samba, “we achana nae nachoshukuru nikambahapa nyumbani kwangu ameacha nguo na viatu vyake tu, kama ni nyumba nime jenge mwenyewe, yeye kamjengea mwanamke alisema Stellah akionyesha kuchoshwa na tabia ya Kipanta, “kwa hiyo kumbe mnamgogoro wa muda mrefu, jamani wanaume kwanini anakufanyia hivyo lakini” aliuliza mwalimu mwenzie na Stellah, “niujinga wangu wenyewe, kumpenda na kumweshimu” alisema Stellah, ambae baada ya kukata simu , akajisema, “sijuwi kwanini sikummpa yulle kijana, maana mtu nae mthamini akuthamini” alijisemea Stellah, ambae nikama alimuawa kuwa liwalo na liwe, “maisha yataenda tu, akuna nachoitaji kwake siku zote mimi ndio mama mimi ndio baba, wache abakie huko huko” alisema Stellah kwa hasira, kwamaana alisha choka na kundwa uvumilivu, akujuwa kuwa mbio za mumewe zinakaribia ukingoni, na kwamba yeye ndio msaada wa mwisho uliobakia………… endelea …..


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa