KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA ISHILINI NA NNE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, January 4, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA ISHILINI NA NNE






ILIPOISHIA SEHEMU YA ISHILINI NA TATU: Ilikuwa hivi, saa nne kamili, ambao ni muda wa wateja , kuwa wamesha achia vyumba, walivyo kodi kwa usiku mmoja, ndani ya Luguruni Guest house, mhudumu mmoja alisogea kwenye mlango wa chumba walicho kodi wakina Kipanta na Matrida, na kugonga mlango, maana uwa kuna wateja, wanatapataga hamu ya kuingiziana dudu, muda ukiwa umesha isha, akaona kimya, akajaribu kufungua mlango, nao ukafunguka, sasa basi alicho kiona humo ndani, kilimfanya toke mbio huku anapiga kelele zilizo waita mwenzie, na kujaa kwenye kile chumba, wakiwaona wakina Kipanta wakiwa wame lala uchi wa mnyama, huku povu zikiwatoka midomoni……… endelea ….. 
 Kwa haraka ungezania kuwa wamesha kufa, lakini baada ya kuwatazama, baadhi ya sehemu zao za vifua, na matumbo, wakagundua kuwa watu awa walikuwa wanapumua kwambali sana, sasa basi maajabu yakizazi cha smart phone, wakati manager ana piga simu polisi, huku wahudumu wengine, akiwapo Sinder,  walikuwa wana chukuwa video na picha za tukio lile, ambazo mwanzo atukujuwa ni zakazi gani, na ukichukulia picha zile zilipigwa wakati wakina Kipanta na Matrida awakuwa wamevaa nguo, yani walikuwa uchi kabisa.
Dakika chache baadae polisi wakaingia pale Guest wenyewe wanaita eneo la tukio, na baada ya kufanya uchunguzi wa haraka na kuwahoji wahudumu na  manager, Polisi wakawachukuwa wawili wale na kuwakimbiza hospital  ya muhimbili, tawi la mloganzila, wakiwa bado awajapata majibu sahihi, zaidi ya kuambiwa kuwa wawili hao, walikuja kama wateja na kuchukuwa chumba cha kulala, walicho lipia kwa siku moja, na wakapata huduma ya vinywaji na chakula, kabla ya kuingia chumbani kwao, na kukutwa asubuhi, wakiwa katika hali kama ile, ambayo ilimshangaza kila mmoja.
Baada ya kuwafikisha pele hospital, na kuanza kupewa huduma za kwanza za kupunguza sumu mwilini, kufwatia majibu ya vipimo, kwamba walikunywa vinywaji vyenye kiasi kukibwa cha dawa ambazo ziliwatengenezea sumu, polisi wakaondoka zao huku wakianza kufwatilia ile sumu walipewa na nani.******
“Pross, naomba nikuambie kitu mpenzi wangu” alisema Rose, kwa sauti ya kichovu, iliyo ambatana na tabasamu la furaha, akiwa na Pross juu ya kitanda, wapo uchi kama walivyo zaliwa, wote wame lala wakitazama paa la kibanda kile, ni mala baada ya kumaliza kupeana utamu asubuhi ile, niambie tu” alisema Pross, ambae kiukweli alikuwa bado ajaamini, macho yake kuwa leo hii, amekula kitumbua cha boss wake, tena akionyesha mapenzi ya hali ya juu, “naomba uwe mpenzi wangu wa siku zote, mimi nita kusaidia kuwa na maisha mazuri, ata kama ukitaka kusoma tena mimi nita kusaidia, mladi ukubari niwe mke wako, na uniaidi, kuwa utanioa, na auto niacha” alisema Rose, kwa sauti ya kubembeleza, safari hii akimgeukia Priss na kujilaza juu yake nusu ya kifua chake.
Hapo Pross akatabasamu kwa mshangao, “unasema kweli boss?” aliuliza Pros kwa mshangao, “Pross bwana nime kuambia kuwa mimi siyo boss wako, tena, mimi ni mpenzi wako bwana” alilalamika Rose, “samahani” alisema Pross, “ok! bila samahani, aya niambie basi, kama kweli unanipenda na utakuwa mume wangu” alisema Rose huku akipinya pua ya Pross kwa kidole chake cha kwanza, “nipo tayari Rose, lakini nina ushauri juu yailo, naomba kwanza unge chukuwa muda wako kufikilia, pengine unaweza kumpata mwanume mwingine, sasa mimi nita jiskia vibaya sana” alisema Pross kwa sauti ya unyonge kidogo, “sikia Pross, mimi nime amua, kukupenda wewe, na sifwati mwanaume kwa kile alicho nacho, na kwakukuhakikishia ilo, mimi nakutoa huku shambani, tunaenda kuishi kwangu, alafu tuta juwa la kufanya juu ya ndugu zako na mama yako, leo mtafute mtu wakukaa hapa, nikija kesho, tuta mwacha hapa, na wewe tunaenda mjini” alisema Rose akionekana kupania kuwa na Pross.
Naam japo walikubariana hivyo, lakini ukweli ni kwamba ross akua ana amini kama kweli jambo lile linamtokea mubashara, pengine ni ndoto ambayo baada ya masaa kadhaa ata shtuka na kubakia na unyonge wakupitiliza, ata Rose alipo kuwa ana jiandaa kuondoka, na ata alipo mkiss shavuni na mdomoni, kisha kupanda gari lake na kuondoka, Pross akuwa anaamini macho yake.*******
Naam mitandao ya kijamii ililipuka na habari ya kushangaza na kuburudisha, kwa wale wasio mjuwa na kumfahamu Kipanta, habari ambayo ilikuwa ni kama mwendelezo wa habari za jana, kuwa yule bwana alie fumaniwa afanyiwa kitu mbaya. pamoja na demu wake, wakutwa uchi wa mnyama, maneno hayo yalienda na sambamba na video aupicha, za matukio yote mawili, yani la jana la kufumaniwa na Rose, na ili kukutwa uchi, na wote wakianza kushusha shutuma zao kwa mwanadad mrembo Rose.
Adellah dada yake Rose nae alikuwa ni mmoja kati ya watu walio lipata mapema tukio ilo, na kumlipua moyo wake, akijuwa fika kuwa mdogo wake ndie alie fanya mchezo huo, wa kuwa wekea sumu wakina Kipanta, hapo kulikuwa na hali mbili, moja ikiwa ni furaha juu ya hilo, maana ukweli ni kwamba akuna mtu Adellah alimchukia kama Kipanta, ila jambo la pili, aliingiwa na wasi wasi mkubwa, sana juu ya mdogo wake ata kuwa katika hali gani, kwa wakati huo, maana mitandano ya kijamii asa instagram, kulikuwa kunaenea picha ya matukio hayo mawili, na baadhi ya picha zilizo mwonyesha Rose akiwa katika picha tofauti, ambazo yeye mwenyewe, alikuwa amezi weka kwenye account zake za face book na instagram, “hapana, lazima niende Tanzania haraka” aliwaza Adellah huku ana inuka na kuanza kujiandaa kwa safari, huku akimsubii mume wake bwana Mauricio Fernandez, ili amweleze juu ya ilo wakati huo huo, Adellah alijaribu kutuma ujumbe kwa Rose, kwa njia ya whatsaap, akiitaji kujua, mdogo wake huyo yupo wapi na katika hali gani, lakini aikuonyesha alama ya kusomwa.*******
Naam mwana mama Stellah akiwa kwenye barabara ya kisalawe, kutokea kiluvya madukani, aliendesha gari lake taratibu, siyo kwamba alikuwa anapenda kutembea taratibu, hapana, ukweli nikwamba mama huyu alikuwa anatamani afike haraka kule shambani, kwa hawara wa mume wake, lakini, ukweli nikwamba gari lake ni dogo, na lisingeweza kuimili, mashimo ya ile barabara, lakini ni nusu saa tu ndiyo aliyo itumia toka barabara kuu ya morogoro, eneo la kiluvya madukani, mpaka njia panda ya maneno mango, ambako ndio kuna barabara ya lami.
Naam wakati mama huyu mwenye uzuri wake na umbo la kuvutia, akiwa anataka kuingia barabara kuu, mala akaliona gari lina kuja, likitokea kule anako elekea yeye, hivyo akaona itakuwa busara kama ata lingojea, lipite kisha yeye aingie barabarani, na lilipo karibia akaona lina onyeha inducator, ya kuingia kule anakotokea yeye, lilikuwa ni Toyota alphad, lenye upya wake, na wakati lina pita pembeni yake upande wa kulia kwake, akamtazama dereva wa gari lile, japo gari lilikuwa na tinted lakini kwa kupitia kioo cha mbele aliweza kuona kuwa, dereva alikuwa ni mschana mdogo, na mrembo, japo alionekana akuwa amejiweka vipodozi usoni kwake, japo alionekana kujawa na furaha usoni kwake, nikama sura yake aikuwa ngeni kwake, ilo akulijari sana, “mabinti wadogo wanaendesha magari mazuri, sisi wenye waume wenye elea tunaangaika” aliwaza Stellah, huku anakanyaga mafuta, kuingia barabara kuu, na kuelekea kule lilikotokea lile gari, “alafu nime kumbuka” aliwaza Stellah huku ana papasa kwenye dash board na kutoa simu yake, “sitaki usumbufu wowote, toka kwa watu” alisema Stellah huku ana zima simu yake, na kuiweka tena kwenye dash board, huku ana endelea na safari yake, ambayo alikuwa amebakiza mita chache, kuingia eneo ambalo, toka jana aliona kuwa siku ichelewa.******* 
Polisi walipotoka pale hospital ya muhimbili ya Mloganzila, wakarudi tena kule luguruni, safari hii wakiwa na maswali mapya kwa wahudumu, moja wapo likiwa ni watu walio kuwa pamoja na wakina Kipanta, mhudumu alie wahudumia vinywaji na mhudumu alie wahudumia chakula, aliletwa mtu wajikoni, na pia akaletwa Sinder, huku kila mmoja akihojiwa kwa wakati wake, lengo alikuwa mhudumu wa chakula, sababu vipimo vinaonyesha kuwa, sumu ilikuwa kwenye kinywaji, “tume ambiwa kuwa wewe ndie ulikuwa una wahudumia wale watu wawili, ebu tueleze uliweka nini kwenye vinywaji vyao” aliuliza mmoja wa askari waliokuwa wanamhoji Sinder, na hapo Sinder akiwa amesha ona habari za kwenye mitandao, zinazo mshuku Rose kuwa ame wafanyizia wakina Kipanta, “kwakweli mimi nilikuwa na chukuwa vinywaji na kuwafungulia mbele yao, sijuwi ata kama kuna kitu waliwekewa” alijibu Sinder kwa sauti ambayo kwa haraka haraka, ungesema huyu binti ni mtoto wa mchungaji, “ebu tueleze kama siyo wewe ata kuwa nani?” naam ilo swali la polisi, ndilo ambalo Sinder alikuwa analisbiri kwa hamu kubwa, “labda kuna dada mmoja hivi, nilipo kuwa natoka kuwapelekea vinywaji nilimwona ana ingia chumbani kwao, na wao wakamfungulia mlango” alisema Sinder kwa sauti ile ile ambayo atakama unge kuwa ni wewe lazima unge amini kila anachoongea, “huyo dada ni mhudumu wa hapa au?” aliuliza mmoja kati ya wale polisi waliokuwa wana mhoji, “hapana siyo mhudumu, ata mimi simjuwi, ila wanaonekana kuwa wanafahamiana na wale wateja, maana walipoingia niliona kama wana laumiana, kuwa anamthaliti” mpaka hapo Sinder akawa amaesha washa sigara kwenye kituo cha mafuta, maana wale askari wakatazamana…….. endelea …..


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa