KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA ISHILINI NA TANO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, January 4, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA ISHILINI NA TANO





ILIPOISHIA SEHEMU YA ISHILINI NA NNE: alisema Sinder kwa sauti ile ile ambayo atakama unge kuwa ni wewe lazima unge amini kila anachoongea, “huyo dada ni mhudumu wa hapa au?” aliuliza mmoja kati ya wale polisi waliokuwa wana mhoji, “hapana siyo mhudumu, ata mimi simjuwi, ila wanaonekana kuwa wanafahamiana na wale wateja, maana walipoingia niliona kama wana laumiana, kuwa anamthaliti” mpaka hapo Sinder akawa amaesha washa sigara kwenye kituo cha mafuta, maana wale askari wakatazamana…….. endelea …..
Nikama walikuwa wanaulizana,  ya hapo waka hoji maswali amawili amatatu na kuondoka zao, wakirudi kituoni, ili wajipange na kuanza kumsaka huyo mwanamke, pamoja na ndugu wa wale watu wawili yani Kipanta na Matrida.*******
Mwingine alie ipata habari ya Kipanta na Matrida, huku shutuma zikienda kwa Rose, ni mwana dada Joyce ambae mida hii ndio kwanza ana hamka ndani ya chumba chake, hii ni kutokana na uchovu wa kuchelewa kulala usiku, akinywa pombe na mpenzi wake, mala kupeana dudu, huku ikiwalazimu kuhamka mapema, ili awaku kumsindikiza mpenzi wake huyu stendi, ambae alikuwa anasafiri kuelekea mbeya anako fanyia kazi, Joyce alihamashwa na njaa kali, iliyo kuwa inamchamanda, tumboni mwake, akaingia bafuni kumwaga kojo la pombe na kurudi chumbani ambako moja kwa moja, aliangalia simu yake kwa lengo la kujuwa muda, ilikuwa ni saa tano kasoro, lakini licha ya kuona muda, pia mwana dada huyu, alikuta notification na missed call kadhaa, juu ya kioo cha simu yake, nyingi zikiwa ni sms za whatsaap, na akatazama zile missed call mbili zilikuwa za manager wao, yani wa NMB tawi la Kibaha, “ananini huyu nae” aliwaza Joyce huku anashusha macho kutazama messed cali nyingine, ilikuwa ni ya mpenzi wake ambae muda mfupi uliopita alikuwa ametoka kumpeleka stendi, na kuhakikisha amesha panda basi, Joyce akatabasamu, “ume data, si unioe basi” aliwaza huku anatabasamu, na kuibofya ile namba, kwa kuipiga, lakini kabla aijapigika vizuri, akatuka akiipokea simu ya ambayo ilikuwa inaingia kwenye simu yake, akaipokea haraka bila kuangalia mpigaji, maana wazo lake lilimtuma kuwa ni mpenzi wake, aliepo safarini, “hallow” aliita Joyce, kwa sauti tulivu na legevu, lakini alikutana na sauti ya kusha pumzi nzito, “Joyce ebu niambie, imekuwa mpaka mna fanyiana michezo mibaya kama hii?” sauti iliyo uliza swali ilo, ilimfanya Joyce ashtuke na kuitazama simu yake kwa lengo la kutazama mpigaji, alikuwa ni manager, “michezo gani boss, au Matrida kufumaniwa na Rose?” aliuliza Joyce kwa mshangao, maana siyo kawaida manager wa benk kuulizia, maswala binafsi kama yale, unaliona dogo, wakati atujuwi kama amewapasumu gani, atujuwi kama watapona au watakufa wewe unaona hayo ni madogo?” aliuliza Manager na kumstua Jiyce ambae akuwa na habari ya kilicho tokeza usiku wa jana, “sumu, amewawekea sumu kivipi?” aliuliza Joyce kwa mshangao, “inamaana ujuwi lolote, juu ya Matrida kupewa sumu na Rose?” aliuliza manager kwa mshangao, “mungu wangu, inawezekana vipi, Rose kufanya kitu kama hicho, mbona jana akuonyesha kuchukizwaka lolote juu ya ilo” alisema Joyce kwa mshangao na bumbuwazi, kisha akakata simu na kupiga kwa Rose pasipo kujari kuwa pegine boss wake bado alikuwa anaitaji kuongea nae.
Simu ya Rose akupatikana, kwa mana kama siyo kuzimwa basi aikuwa kwenye eneo lenye net work, “au amesha kamatwa, kwanini Rose ukafanya kitu cha kikatili kama hiki” aliwaza Joyce, huku anabofya kwenye upande wa whatsaap ilikuona kama kuna ujumbe unao usiana na habari hiyo.
Naam ukweli ni kwamba huko ndiko aliko changanyikiwa Joyce, maana alitumiwa video nyingi zinazo fanana, zikiwaonyesha Kipanta na rafiki yao Matrida wakiwa wamelala uchi wa mnyama, huku povu zikiwatoka midomoni, “maskini Mat, nini kilikutuma uchukuwe bwana we mwenzio jamani” alisikitika Joyce, ambae ata ule uchovu na njaa, vilimwishia, hapo aka onelea aingie bafuni kuoga, ili aende nyumbani kwa Rose, kujuwa kwanini aliamua kuchukuwa maamuzi makubwa kama yale.*****
Naam baada ya kuiacha barabara ya Manelomango, na kuikamata barabara ya kiluvya madukani, huku akipishana na gari dogo,ambalo akujiangaisha kumtazama mmilikiwake, mschana mrembo Rose mary, aliendesha gari lake taratibu, huku aki vuta picha na kumbukumbu ya matukio ya siku ya jana, japo kulikuwa na baadhi ya matukio ambayo, kiukweli ayakumpendeza, asa lile la rafiki yake Matrida kutembea na Kipanta, lakini tukio ilo, lilimezwa na tukio tamu la, kuwa pamoja na kijana Pross, “utazani Pross ameniloga, yani sizani kama leo nitakuwa tayari kulala mwenyewe, naweza kwenda kulala shamba alafu nika hamka mapema, kuwa nyumbani kubadiri nguo, niende kazini” aliwaza Rose, ambae alijikuta anazidi kumpenda Pross, “au nitaenda kumchukuwa alafu nina lala nae hapa nyumbani, kisha kesho wakati naenda kazini, namchukulia boda boda imrudishe” aliwaza tena Rose, ambae akakumbuka kosa alilo lifanya, “alafu katika wajinga, mimi ni mjinga sana, yani sija chukuwa namba ya Pross, alisema Rose huku anapapasa kuitafuta simu yake, na kuikuta kwenye kibegi chake, akikumbuka kuwa akuwa ametumia toka jana jioni, hivyo akupigiwa wala kupiga.
Rose akaitoa simu na kuitazama, akabofya kidogo, ili kuona kama kuna missed call au sms, lakini simu aikuwaka, hapo akagundua kuwa simu hii ilikuwa imesima chaji, “ndio maana” alisema Rose huku anaweka gari pembeni na kuichiomeka, kwenye chaja iliyo wekwa mlendani ya gari, kwenye mp 3, kisha akaendelea na safari.*******
Naam polisi, nao walizipata zile video zenye habari inayo muusisha Rose moja kwa moja, na tukio la wakina Kipanta, hapo wakaanza uchunguzi, wa sehemu ambayo anapatikana mschana huyu mrembo, ambae ni mfanya kazi wa benk, “wanapigania fedha tu, akuna lolote, unazani mzee kama huyu ana wapa mambo kama inavyo stahili?” alisema polisi mmoja wakati wakiwa njiani wanaelekea nyummbani kwa manager wa benk hiyo, anae ishi kibaha kwa enginear .
Aikuwa kazi ngumu kumpata manager, ambae aliamua kuwaongoza kwa mschana huyu, huko kibamba njia panda ya shule, huku moyoni mwake akisikitika kwa tukio lililo tokea.******
Naam baada ya mume wake bwana Mauricio Fernandez, kurudi nyumbani, Adellah ali mweleza kila kitu, kama kilivyo jili kwenye mitandao, ya kijamii, juu ya Rose, ukweli habari hii ilimsikitisha sana, bwana Mauricio, huku yeye na mke wake wakiamini kuwa Rose ameyafanya hayo kwa kulipiza kisasi, na siyo wivu wa mapenzi, “nazani, itakuwa muhimu tukienda wote, hivyo tuondoke kesho jioni, ili kesho mapema, nikaombe mapumziko ya week mbili, kisha twende Tanzania” alishauri Mauricio, yani shemeji yake Rose, sababu leo ilikuwa ni boxing day, hivyo singeweza kuomba luksa.******
Mida hii akiwa ajuwi wala na akuwa na sababu ya kujuwa kinachoendelea, huko mjini, Pross akiwa amevalia kijibukta, huku kifua kikiwa wazi, kwa maana akuvaa shati, alikuwa anafanya usafi wa chumba chacke, na mazingira yanayo izunguka ile nyumba, ni baada ya kuona kuwa inabaraka ya kutembelewa na wageni mbali mbali, juzi alikuja mwanamama Stellah, na akalala, jana mwana dadaRose boss wake, ambae sasa ni mpenzi wake, na akalala mle ndani wakifanya waliyo yafanya.
Pross alifanya usafi huku kichwani kwake ikimjia picha ya tukio la jana usiku, na leo asubuhi, la kula kitumbua cha boss wake, wakati mingine alikumbuka juzi jioni, alivyoweza kuona mtuno wa kitumbua, cha mwanamama Stellah, ambae alivalia kile kinguo chake, cha hatari, “mh! kumbe nisinge ondoka kitandani, pengine na yeye angenipa” aliwaza Pross, akiendelea kufanya usafi, huku sufuria la mihogo likiendelea kuchemka jikoni, “lakini yule mwana mama mkubwa sana, awezi kunipa pengine alifanya vile kwaajili ya pombe tu!” aliwaza Pross, ambae anakumbuka jinsi Stellah, alivyo kuwa ana mkubatia kumbatia, na mwisho kujikuta wakiwa kitandani pamoja, nayeye kuamua kumwachia kitanda kwa heshima.
Pross akiwa ama malizia kufanya usafi mala akasikia muungurumo wa gari, na alipo tazama kwenye njia ya kuingilia pale shambani, akashangaa kuliona gari la yule mwana mama, mwanzo alizania kuwa ni wenge lake, lakini lile gari lilipo fika na kusimama pale lilipo simama juzi, na kumwona mwanamama anashuka huku akiwa ameachia tabasamu pana, ndipo Pross alipo alipogundua kuwa ni kweli kabisa mama huyu amekuja tena, alafu leo mavazi yake nikama alikuwa nje ya nyumba yake, ukiachilia gauni la mikanda mabegani, ambalo akujuwa urefu wake, huku chini alijifunga kitenge, tu, ambacho kili kaa vizuri, kikilemewa na hips, na maalio mapana ya mama huyu,  “jamani Pross mbona unanishangaa baba, njoo basi unipokee basi” aliongea stellah kwa sauti ya kudeka, huku anafungua mlango wanyuma na kuanza kushusha mazaga zaga, yakiwemo yale mahot pot, na box la wine lenye vyupa sita.
Sijuwi sababu alisha onja kitumbua, maana Pross kwa mwonekano wa Stellah, aliunga nisha na picha ya juzi ya mtuno wa kitumbua, na picha ya jana ya kuingiza dudu Kwenye kitumbua cha Rose, hapo dudu ika stuka na kututumka, ikiinua bukta aliyo kuwa ameivaa, “shikamoo mama” alisalimia Pross, akiwa amesha msogelea Stellah, pale kwenye gari, “marahaba mwanangu, za toka jana” aliitikia Stellah, huku akipeleka macho yake kwenye bukta ya Pross, na kuona jinsi kijana huyu, alivyo simamisha mnazi, “nzuri, naona mme faidi sikukuu” alisema Pross, kwa sauti iliyo jaa uchangamfu, akijitaidi kupotezea mawazo, ya msambwanda na hips, huku ana chukuwa hot pot tayari kuzipeleka ndani, “nifaidi wapi, wakati nilikuwa mwenyewe, mpaka nikatamani kama ninge kuwa huku” alisema Stellah, japo kauri hii ilimshangaza kidogo, Pross, lakini akaipotezea, “kwani wale watoto wako awapo” aliuliza Pross, huku anaelekea ndani, akimwacha Stellah ana malizia kushusha mizigo, “hii sikukuambia, wameenda bagamoyo kwenye Chriss mass, wanarudi kesho kutwa” alisema Stellah, huku Pross akiingia ndani, ambako aliweka zile hot pot, na kujitazama jinsi dudu inavyo muumbua, kweli ilikuwa imesimama, barabara, na ukizingatia ndani akuvaa boxer, ilikuwa ni baraha, “mh! nitaonekana mtoto mbaya, ngoja nivae suruali” alijisemea Pross, ambae alitazama kwenye nguzo moja ya mbao, aliyo gonga misumari, maalumu kwa kutundukia nguo, akaona jinsi na boxer, aka vua haraka ile bukta na kuchukuwa ile boxer, huku bado dudu imesimama kweli kweli, “hooo baba kumbe unavaa?” Pross alishtuliwa na sauti ya Stellah, na kwabahati mbaya, akageuka kutazama kule upande wa mlangoni ilikotokea sauti, na macho yake yakakutana na Stellah, alie kuwa amebeba , cartoon la maji ya kunywa, ambae macho yake yalikuwa yanaitazama dudu ya kijana huyu, ambayo kiukweli bado ilikuwa imesimama kweli kweli.*******
Joyce baada ya kumaliza kuoga, alivaa kikawaida tu, yani kijigauni simple sendo za kawaida, akajifunga na kitenge, akachukuwa simu yake na kuelekea kwa Rose, ambapo ni mwendo wa dakika kumi mpaka kumi na tano, kwa miguu, “jamani Rose baraha gani hili, wakijuwa polisi si utakamatwa wewe, aliwaza Joyce huku anatembea kuelekea kwa Rose, na ata alipofika, akuliona gari la Rose, na milango ilikuwa imefungwa, pale nje lilikuwepo gari la Kipanta, Toyota IST, akajaribu kugonga mlango, lakini akukuwa na dalili ya kuitikiwa, hapo akaamua kurudi kwake, akiwa na hisia kuwa pengine Rose amesha kamatwa na pilisi, maana ata simu yake aikuwa inapatikana, safari hii aliamua kupita njia ya mkato.
Naam ile anakaribia barabara kubwa ya vumbi, mala akaliona gari la Rose lina kata kona kuelekea, kuelekea nyumbani kwa Rose mwenyewe, akuwa na uwezo kulikimbilia, hivyo akuwa na namna zaidi ya kurudi tena kwa miguu, lakini akufika mbali, akaliona gari la polisi, likuwa na polisi wanne nyuma yake, likielekea kule kule kwa Rose, “mungu wangu, Rose anakamatwa” alisema Joyce, akitamani kukimbia ili akashuhudie mwenzie anapatwa na nini……….…….. endelea 


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa