SEH.75 Yaani sijui aliyeniloga aliniloga saaa ngapi maana nimekuwa nikipata bahati ya kuangukiwa na embe dodo mara nyingi nikiwa chini ya mnazi.Mbona umepoa sana Maurine niliamaua kumuuliza ili kuvunja ukimya.Wewe acha tu nafikiria ile dozi uliyonionjeshanatamani tungepata kanafasi tufanye zaidi alijibu binti huyo.Kabla sijasema kitu akaendelea kusema “Sasa nimeanza kuamini kwa nini Dada Lisa alikuwa anakusifia na kusema yupo tayari kuacha usagaji.Kwani umegundua nini ilibidi nimuulize.Wewe unafikiri ningegundua nini zaidi ya utamu wa binamu alijibu Maurine kwa kunichombeza.
Lakini Maurine ujue sisi ni ndugu huoni kwamba tulichofanya sio sahihi ilibidi nijibaraguze.Mimi na wewe hatuna undugu wowote labda kama ubinamu wa kambo ila wewe na Lisa ndo ndugu hivyo itakupasa uachane naye uwe na mimi alesema Maurine bila aibu.Ilibidi ninyamaze kimya maana tulishakaribia kufika.Akawa ananitengeneza kola ya shati langu vizuri.Tulibaki gari vizuri na kuingia kwenye duka hilo.Bora mmekuja maana tulikuwa tuwafuate huko alisema mama yake Maurine.Haya kwa nini wote wawili hamupokei simu alidakia mama mjomba.Mimi nilikaa kimya nikumuacha mpira Maurine ajibu swali hilo.
Tulichelewa si nilisema naenda kwa rafiki yangu kwanza alafu mda ule mnapiga ndo tulikuwa stoo tukifanya yetu.Mmmm tukifanya yetu kauli hiyo ilinishitua kidogo na kushindwa kuelewa alikuwa anajiamini nini.Wakati kauli hiyo ikiniweka mimi kwenye wakati mgumu mama yake naye alishangaa na kuuuliza mkifanya yenu? Yenu yapi alidakia mama mjomba.Jamani kwani nyie mmefikiria nini si tukishusha mizigo alifafanua Maurine huku akijichekesha chekesha.Yaani wewe endelea tu kujichetua chetua sa hivi ushaukuwa mtu mzima uache utoto alisema mama yake kwa upole.Jamani si utani tu alisema Maurine huku akijiechekesha chekesha.Mimi nilikaa kimya ila moyoni niikuwa najisemaa ukiona manyonya ujue kaliwa.
****ITAENDELEA***
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments:
Post a Comment