Habari ya muda huu ndugu wasomaji wetu wa ukurasa huu wa mahusiano nawakaribisha tuweze kujifunza mambo mbalimbali.
Leo nimekuja na mada konki kaa mkao wa kula. Hivi ni nani kakuambia mpenzi wako akikosea ndio umnyime uchi? Je kumnyima kunasaidia kufuta yale makosa aliyoyatenda?
Je hapo kumnyia una tatua tatizo au unazidi kuongeza matatizo? Naomba tupeane majibu.
Wasomaji wangu naomba tuende taratibu tuelewani jamani huu mchezo umekuwa kama ni sugu yaani mwanaume wako kakukosea unamnyima mdinyo. Hapo haupo sahihi.
Tafuta suluhu ya kumaliza tatizo lililotokea badala ya kuongeza matatizo mengine ndani ya mahusiano.
Unapomnyima uchi unampa nafasi ya kwenda kutafuta kwingine na kuupata bila shida yoyote na akirudi nyumbani wewe unabaki na kununa wenzako wanajilia pipi ya kijiti kwa buruduni.
Mwanaume hanyimwi uchi kwa vile amekosea tena kama hiyo siku amekukosema mpe shoo moja matata hadi abaki na mawazo.
Kuwa mbunifu mpe mambo adimu ambayo ulikuwa nayo na hujawahi kumpatia hadi aogope leo vipi? Imekuwaje? Mpe mawazo aangaike nayo huku ukimbinua kitandani.
Lamba vya kutosha pipi ya kijiti hadi apate misisimuko ya kumdatisha mbona maji ataita mmaa.. Kwa mdatisho huo mbona atakueleza kila kitu na kukuomba msamaha.
Hilo kosa alilolifanya hawezi kulirudia hata iweje. Usifanye maamuzi ya kukurupuka mwanaume wako anapokuwa amekukosea.
Usiwe mtu wa maneno mengi mpenzi wako anapokukosea tulia sawazisha ugomvi kiustaarabu.
Kumnyima mwanaume uchi ni sawa na kumruhusu akautafute kwa michepuko na michepuko hawabepiwi wakipigiwa fasta wamefika kwa hoteli.
Hivi na haya magonjwa kweli unamrusu mume akatafute michepuko kisa amekukosea.
Embu wanawake msitake kuwatafutia wanaume wenu kupata dhambi za kujitakia.
Naomba ubadilike kama una tabia hiyo kwani itakuletea shida katika mahusiano na kujikuta yanavunjika pasipo na sababu za msingi.
Hakuna mahusiano yasiyo na changamoto lakini dawa yake sio kumnyima mpenzi wako penzi kisa kachelewa kurudi ama kakuuzi.
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments:
Post a Comment