i. Zima simu yako, au weka silent na iweke mbali na wewe
ii. Sahau kuhusu kazi. Unapokuwa na mpenzi wako nyakati za usiku sahau kabisa kuhusu misukosuko uliyoipitia siku nzima ili uweze hata kufanya mengine kwa ufanisi mzuri
iii. Nenda kitandani muda sawa na mpenzi wako. Acha mambo ya kusubiri tamthilia imalizike. Anapokwenda kulala nenda nae ukamchue na nyavu ya ngisi. Wenzako wanasindikiza saloon sembuse wewe dukani bhana
iv. Usikaribishe mabishano yatakayo watoa kwenye mood. Tambua kitanda ni sehemu ya pumziko, muda wowote unaweza pindua meza sasa usipende kuingiza majadiliano yatakayo wafanya muingie kwenye mvutano (Utakosa mchezo😊) take care
v. Usisahau kumkumbatia mwenza wako, kumfanyia massage, kiss zakutosha na mwisho kabisa hakikisha unamlidhisha mpenzi wako kwa tendo la ndoa (S3x) iliyo na ubora, ubunifu wa hali ya juu ili kupeperusha mwewe wanao muwinda
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments:
Post a Comment