Kuongeza na kupunguza ute ute ukeni - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Wednesday, December 11, 2019

Kuongeza na kupunguza ute ute ukeni




Habari wapendwa. Leo nawaletea faida za kipekee kabisa.

Iwapo mwanamke unasumbuliwa na tatizo la kukosa ute ute katika uke wako, tumia njia hii rahisi kabisa. ▶chukua bamia.
Bamia ni lile litumikalo kupikia mboga hususani mlenda au hata kwenye mchuzi ili kupata utelezi. 
Chukua bamia zako uzikatekate katika vipande vidogo vidogo kisha uviloweke katika maji safi kwa siku nzima.

Matumizi.
Tumia maji hayo kwa kunywa kila siku kwa muda wa siku 21.
Hakikisha unaloweka mapya kila siku ili kupata dawa bora na safi.

Dawa ya pili ni kwa wanawake wenye majimaji mengi kwenye uke kiasi kwamba inakuwa kero kwa baba nanii akija kufanya yake.

Matatizo ni kama jinsia. Aliyepewa hili amenyimwa hili.
Wakati unalalamika huna mwingine analalamika imezidi hivyo basi tusidharau tatizo la kila mmoja wetu. ▶ili kutibu tatizo hili  chukua asali na mafuta ya zaituni.
Changanya  na uanze kutumia kwa kunywa kijiko kimoja kila siku kutwa mara  mbili. Pia uwe unapakaa asali huko ukeni na baada ya nusu saa utasafisha kwa maji safi. Fanya hivi kutwa mara mbili hadi utakapofikia hatua uipendayo.




  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa