Je,Unafahamu kuwa ndizi huchangia kwenye uongezaji wa nguvu za kiume mwilini..!!! - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Wednesday, December 25, 2019

Je,Unafahamu kuwa ndizi huchangia kwenye uongezaji wa nguvu za kiume mwilini..!!!



Ndizi ni kati ya matunda na vyakula tamu sana katika jamii ya kiafrika. Mbali na utamu wake, wajua kuwa ndizi huongeza nguvu za kufanya mapenzi?
Je, wajua kuwa ndizi huongeza nguvu za kiume? Miili yetu hutawaliwa na homoni. Vitamini B na Bromelaini ambazo hupatika kwa mandizi huchangia kuongezeka kwa homoni fulani ya kufanya mapenzi kwa wanaume. Pia, zinakupa nguvu zaidi inayomstahimilisha anapofanya mapenzi na kumfanya amtosheleze mpenzi wake kimapenzi.
Ukweli ni kuwa ndizi uchangia kwa kusafisha mishipa ya damu, kusaidia kupitisha damu na pia hupatia moyo nguvu zaidi. Hivyo basi, ndizi hazisaidii tu kuongeza nguvu za kiume, bali pia huponya wanaume wasio na nguvu za kufanya mapenzi, yaani impotent. Pia, ndizi husaidia kupunguza mrundiko wa mawazo(Stress) ambao huwa ndiyo tatizo kuu la wanaume linalowafanya kutosimamisha mkuki.
Hivyo basi kwa njia hii ndizi yawezaboresha utamu wa mapenzi kitandani,,Hivyo basi ukila angalau moja kwa siku itakufaa. Na kabla kwenda kukutana na mpenzio, kula ndizi moja au mbili kwa sababu pia harufu yake ni nzuri, mdomo hautanuka.



  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa