Sasa hivi imekua ni kawaida mtu kutumiapesa nyingi labda kumpeleka mpenzi wake kwenye mahotel makubwa au kumnunulia vitu vya thamani ili kumuonyesha mapenzi, ila ukweli ni kwamba unaweza ukafanya hayo yote ukajiingiza kwenye gharama kubwa na matumizi usiyotarajia bila mafaniko. Mwanamke haitaji vyote hivyo mwanamke anahitaji muda, tumia muda mwingi kuwa nae, muonyeshe unamjali, tatizo lake chukua liwe lako. Mpe kidogo ulicho nacho na kitoke moyoni, Usilazimishe mambo utamboa, fanya ajiamini ukiwa nae, kuwa na misimamo yako usiyumbe yumbe katika maamuzi, Usiogope kumwambia hisia zako kwake, kwani wanawake wanapenda mtu anayejiamini. Fanya hayo utaona matokeo yake..!!
Saturday, August 3, 2019
Home
Unlabelled
WANAWAKE HUFURAHISHWA NA VITU VIDOGO DOGO SANA HAKUNA HAJA YA GHARAMA
WANAWAKE HUFURAHISHWA NA VITU VIDOGO DOGO SANA HAKUNA HAJA YA GHARAMA
About Uhondo kitandani
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment