Msaidie upatapo nafasi ya kumsaidia,,mpunguzie majukumu ili apate muda mzuri wa kupumzika pia,,,,inawezekana umezungukwa na jamii ambayo inaamini kumsaidia majukumu mwanamke ni LIMBWATA,,,lakini haidhuru kama italeta furaha katika mahusiano yako,,,usifuate mitazamo hasi ya watu wengine itakayofanya mwenza wako aelemewe na majukumu kupita kiasi,,,,mwanamke nae anahitaji muda wa kupumzika wa kutosha,,, Kuna wakati unaweza kulalamika kumlaumu kuwa hakutoshelezi hasa katika tendo la ndoa kumbe uchovu wa majukumu yaliyomwelemea unamzidi,,,.
Sunday, June 2, 2019
Home
Unlabelled
NDOA NI KUSAIDIANA MAJUKUMU, USIMUACHE PEKE YAJE

About neemasayi
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment