KAMA UMEMCHOKA MPENZI WAKO MUELEZE WAZI TU - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, June 2, 2019

KAMA UMEMCHOKA MPENZI WAKO MUELEZE WAZI TU



Siku zote kumnyanyasa na kumpotezea mpenzi wako ni kumfundisha kuishi bila wew,,,,baadhi ya watu wanafikiri kuwa kumfanyia hivyo mpenzi wake ni kumkomoa,,wasichojua kuwa kadri muda unavyozidi kwenda,,ndivyo mtu anazoea maumivu na kukuona wa kawaida,,,,kuwe na ukweli tu pale unapomchoka mtu mueleze wazi,,,ni heri maumivu ya Mara moja kuliko yale ya kila siku.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa