WANAWAKE MSIJISAHAU KATIKA MAHUSIANO AU NDOA ZENU - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, May 21, 2019

WANAWAKE MSIJISAHAU KATIKA MAHUSIANO AU NDOA ZENU




Asilimia kubwa ya wanawake hasa mabinti ambao hupata bahati ya kuwa na wanaume au wapenzi wenye upendo,,kuthamini na kujali,,huwa hawadumu na wanaume hao hii ni kwasababu huwa wanajisahau sana na kushinda kujua nini faida ya kuwa na mwanaume mwenye upendo na mwenye tabia ya kujali na kuthamini,,
Utakuta mwanamke hasa binti ana mwanaume ambae anampenda kwa dhati kabisa,,anamthamini na kumjali kwa kila kitu,,lakini wakati huo huo hana habari na mwanaume HUYO kabisa na anaruka ruka tu na mihemko ya dunia pasipo kujua kuwa Mwanaume huyo ipo siku atachoshwa na tabia zake
Hivi nikuulize swali wewe mwanamke mwenzangu,,unadhani bahati huja mara mbili?kitu gani kinakufanya usiwe mwanamke wa faraja kwa mwanaume huyo anayekujali na KUKUTHAMINI,,au unadhani hakuna wanawake wengine wenye mapenzi na moyo wa kujali kama wewe?my sister siku mpenzi au mume wako akidakwa na hao sahau kabisa kama atarudi kwako tena,,,,sasa wewe endelea kuchezea bahati.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa