USIWE NA UJASIRI WA KUSEMA FULANI BADO ANANIPENDA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, May 21, 2019

USIWE NA UJASIRI WA KUSEMA FULANI BADO ANANIPENDA



Usiwe na ujasiri wa kusema fulani bado ananipenda,,wakati kipindi anakuhitaji uliumiza moyo wake kwa kutothamini mapenzi yake kwako,,,
Kama amepata mtu anayempenda na kumthamini basi atakuwa amekusahau kwa kila kitu labda jina lako tu,,
Na wewe ambae umeamua kumfuta machozi mwanamke/mwanaume wake ambaye aliumizwa kihisia huko nyuma,,jitahidi kuonesha upendo,,heshima na nidhamu katika mapenzi yenu ili umthibitishie mwenza wako binadamu wote sio sawa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa