USIJIACHIE SANA KWA MWANAUME/MWANAMKE ANAYESEMA ANAKUPENDA MKIWA PAMOJA LAKINI MKIWA KATIKATI YA WATU ANAJIFANYA HAKUJUI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, May 21, 2019

USIJIACHIE SANA KWA MWANAUME/MWANAMKE ANAYESEMA ANAKUPENDA MKIWA PAMOJA LAKINI MKIWA KATIKATI YA WATU ANAJIFANYA HAKUJUI



Kama upo kwenye mahusiano na mwenza wako hataki watu wajue basi usiwekeze sana AKILI na moyo wako katika mahusiano hayo,,,
Kwasababu unaweza ukawa unampenda kweli mwenza wako lakini yeye yupo kwa ajili ya kusogeza siku tu ndio maana hapendi mahusiano yenu yajulikane,,
Au unaweza ukawa una mipango mikubwa na huyo mwenza wako lakini yeye kuna mtu ana mpango nae ndio maana hataki watu wajue mahusiano yenu,,
Ni vizuri kuwa makini katika mahusiano hayo,maana kama wewe ni Mwanamke usijiandae kuwa single mama KWA kubeba mimba ya mtu huyo,wakati unaona mahusiano yenyewe hayana mwelekeo wowote.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa