USITANGULIZE TAMAA KATIKA KUCHAGUA MWENZA WA MAISHA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, May 18, 2019

USITANGULIZE TAMAA KATIKA KUCHAGUA MWENZA WA MAISHA


Unakuta mdada mzuri wa umbo,,mzuri wa sura,,mzuri wa rangi na ana miaka zaidi ya 30 lakini hajaolewa,,unajiuliza mrembo huyu anafeli wapi kumbe tamaa ndo zinawaponza na kuwasumbua,,anachagua wenye hela weeeee na anaanza kuchagua waliojenga anamaliza anachagua mwenye gari,,anapanda magari anakuja kuolewa sehemu haina hata baiskeli,,anaanza upya,,unakuta moyoni lawama na manung'uniko haviishi,,anasahau alikuwa anaishi maisha ya familia nyingine,,anatakiwa aishi maisha yake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa