UJINGA NI NINI? - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, May 18, 2019

UJINGA NI NINI?




Ujinga ni kumkabidhi moyo wako kibaka wa mapenzi ambae alionyesha KUKUTHAMINI ilihali ana mahitaji yake muhimu na baada ya kutimiza malengo yake akakuacha kipindi usichotarajia,,sasa ujinga unaanzia hapa,unaanza kuonyesha chuki zako kabisa kwa watu ambao hawahusiki na hayo yaliyokupata,,unageuka kiburi,,unakua mkali mkali hivyo hovyo tu,,unakosa shukrani,,Unakuwa jeuri,,una kuwa mama/baba lawama,,my dear usijitoe akili UTAPOTEZA WATU MUHIMU,MISAADA NA CHANELI YA MAISHA kwa kujifanya unajua kuchukia watu kisa mtu wa jinsia fulani alikuumiza,so unaforce kuchukia watu wote wa jinsia yake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa