USIKUBALI MTU WA AINA MOJA AKUPOTEZEE MUDA MARA MBILI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Friday, May 24, 2019

USIKUBALI MTU WA AINA MOJA AKUPOTEZEE MUDA MARA MBILI



Kama mwanzo alikuona hufai/huna vigezo,,mwambie huna kilichobadilika,,hata kama unamiliki vitu ambavyo hakukuacha navyo,,usipende sana kuwaweka Karibu watu waliokuumiza kwasababu kama mwanzo hawakuithamini nafasi yako basi wakija kwa mara nyingine uwape nafasi ya kukujua kwa kukuona lakini sio kujua kila kitu kinachokuhusu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa