ULISHAWAHI KUWA NA MWANAMKE ANAYEKUTAWALA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, May 26, 2019

ULISHAWAHI KUWA NA MWANAMKE ANAYEKUTAWALA



Wakuu habari za asubuhi.
Binafsi niko na mwanamke anayenitawala.
1.Kila kitu changu anataka kuelewa kinaanzaje na kinaishaje, hataki nifanye jambo lolote kama hajajua, endapo asipojua anaita kwamba nimemdharau.
2.Simu yangu hata kama nina maongezi na mzazi atasema kuwa mbona ninaongea muda mrefu, labda itakuwa ni wanawake, hawezi kuelewa kwa haraka, labda umtumie screenshot ya uliyekuwa unaongea naye.
3.Ratiba anataka ziende alivyozipanga yeye, akisema twende ni twende, ukisema una kazi fulani kwa muda huo, tayari huo ni ugomvi wa siku nzima, hapo nitaitwa nina dharau, namchukulia poa nk....
4.Akipiga simu ni lazima umuambie uko wapi na unafanya nini na kama akiona ana mashaka na unachosema ni lazima umuaminishe kwa kumtumia picha ya unachokifanya, au atapiga video call.
4.Kuna kipindi hakutaka ninunue simu janja, kwa mantiki ya kwamba nitakuwa naingia mitandao mbalimbali, instagram, jf whatsapp nk...
5.Muda wa kazi nikiwa nafanya kazi fulani, lazima atauliza namaliza saa ngapi nikivukisha muda ni kosa, utasikia anasema maisha mema, unajifanya upo busy
Declaration of interest, Mimi sio kibenten yeye ni mwanachuo na mimi nina harakati zangu nyingine mtaani.
Nipo nipo tu namsikilizia kwa sababu napata free p kupoteza muda kwa maana siwezi kuingia katika ndoa na mwanamke anayenitawala.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa