UKIONA MWANAUME HAONGEI KITU NDANI YA NYUMBA JUA KUWA........... - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, May 26, 2019

UKIONA MWANAUME HAONGEI KITU NDANI YA NYUMBA JUA KUWA...........





Ukiona mwanaume ndani ya ndoa haongei chochote tena mpaka wengine mnajisifiaga mimi kwangu hafurukuti,,kwa maana nyingine hana sauti jua kuna mawili;
1.kuna sehemu ambapo anapata kipozeo chake,,huko ndiko anapata hata uchangamfu na kuwa na sauti maana hakuna mwanaume mwenye akili timamu asiyetaka kuwa na sauti nyumbani kwake kwahiyo usichukulie poa
2.Hatimizi majukumu yake kama mume hivyo hawezi kuwa na sauti.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa