TOFAUTI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Wednesday, May 29, 2019

TOFAUTI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE



1.kwenye mshituko;mwanaume hushtuka kwanza halafu huangalia nini kimemshtua lakini mwanamke hushtuka kisha huzimia ghafla hivyo huambiwa na mwanaume nini kimemshtua baada ya kuzinduka.
2.kwenye kupenda;mwanaume huanza kutamani kisha kupenda na akipenda kapenda kweli lakini mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila hata kumchunguza wala kumjua mwanaume.
3.kwenye kusaidia;mwanaume hutoa msaada kwanza halafu baadae ndo huhuzunika lakini mwanamke huhuzunika kwanza ndo baadae hukumbuka kama msaada unahitajika.
4.kwenye maamuzi;mwanaume hufikiria kwanza ndipo hutenda lakini mwanamke hutenda kwanza halafu baadae ndo ataanza kufikiri.
5.kwenye kudanganya;mwanaume hudanganya kidogo ili kumlinda mwanamke na kuepusha kuvunjika kwa mahusiano lakini mwanamke hudanganya ili kumkomoa mwanaume.
6.kwenye ugomvi;wanaume hupigana ngumi kisawasawa halafu huheshimiana halafu wanawake hupiga makelele na kurushiana matusi na kila mmoja akichoka atarudi kwake,kesho wakikutana bifu linaendelea tena.
7.kwenye ndoa;mwanaume hutafuta maisha kwanza ndipo hufikiria kuoa lakini mwanamke hufikiria kuolewa kwanza ndipo afikilie maisha,,lakini kuna wanawake wachache wameamka wanasaka maisha kwanza hata kabla hawajaamka hongera kwa hao wachache.
8.kwenye kukata tamaa na mapenzi; mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimsumbue lakini mwanamke hajui kukata tamaa mpaka aumizwe.
9.kwenye kula;mwanaume havungi,hula hushiba halafu huanza madoido lakini mwanamke huanza madoido na mapozi halafu baadae hujilaumu hakushiba.
10.kwenye usiri;mwanaume hutunza siri hasa zile za aibu kumstiri mpenzi wake hata kama watagombana lakini mwanamke humuamini na kumweleza shoga yake siri za mpenzi wake na huyo shoga yake huwaeleza marafiki zake wengine na Habari kutapakaa na mwisho wa siku ugomvi hutokea.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa