SIO LAZIMA MWANAUME ALIYEKUZALISHA AKUOE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Wednesday, May 29, 2019

SIO LAZIMA MWANAUME ALIYEKUZALISHA AKUOE



Tatizo la wanawake kubwa ni KUWA wakishazaa na wanaume otomatiki wanadhani ni lazima waolewe wao ndipo wanapojipa presha kuwa tuna mtoto wa miaka mitatu hataki kuja kujitambulisha kwetu,,unalazimisha akajitambulishe ajulikane,,iko hivi kubeba mimba yake ni kiherehere chako haina uhusiano na kuoana,,,,kama angetaka kuoa asingesubiri mimba agenda moja kwa moja,
HIVYO usikae unasubiri miaka nenda miaka rudi eti kwa kuwa umezaa nae ndo ukajiozesha,,inawezekana wapo kama wewe ambao amewazalisha,,wanahudumiwa kama wao na wao wana uhitaji wa ndoa kama wewe,,kwahiyo basi badala ya kuuliza unakuja lini kwetu kujitambulisha,uliza hivi,ni mimi utanioa au kuna mwingine,,akikujibu ndiyo mwambie kabisa kuna mtoto,,sidhani kama kuna kitu kingine cha kunichunguza,,
Nipe ratiba yako na si mambo yako ya kesho,,sijui mpaka nifanye hiki au kile,,umeshazalishwa acha kuruhusu kupotezewa muda muda mrefu mwisho wa siku akuache,,utaumia zaidi kwa kuwa una mtoto NA ile kuzaa tu ushajiona mke hivyo akija kukuacha utaona kama vile umetarikiwa,bora kuondoka mapema,,kama ahadi hazieleweki kila siku kesho mara kesho kutwa mwambie baba kwaheri kajipange ukiwa tayari utanikuta mimi nipo,,
Ninachosema hapa ni kwamba si lazima mwanaume aliyekuzalisha lazima akuoe,lakini pia kama umeshazaa na mwanaume ushakuwa mtu mzima,,acha kusubiri miaka miwili mwanaume kuja kwenu kujitambulisha,,chukua maamuzi magumu kama haeleweki anza maisha yako bila yeye,,kubali kuwa single mother endelea na maisha,,ni ngumu lakini itakuwa ngumu pale ameshakuzalisha mtoto wa pili halafu anakwambia familia yangu wamesema nioe kabila au mwanamke fulani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa