SI KILA ANAYESEMA NAKUPENDA ANAFAA KUWA MKE AU MUME - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Friday, May 24, 2019

SI KILA ANAYESEMA NAKUPENDA ANAFAA KUWA MKE AU MUME



Habari msomaji wangu,,naomba niweke wazi juu ya hili,,kuna tofauti kubwa sana kati ya kupenda na kuoa,,,kupenda matokeo yake hupelekea ndoa lakini neno nakupenda usiliamini moja kwa moja bila matendo maana unaweza mpa mtu future yako na mwisho unaona unapoteza hatima yako,,upendo halisi hulinda future yako na mtu anayekupenda,,matendo yake yataonekana kwasababu kila afanyalo anafanya kwasababu ya kesho,,,ila kama mtu anasema anakupenda na anarudi nyuma kila siku,migogoro haiishi basi jua kuna kitu anataka atimize halafu akuache,kwani mtu asiyeishiwa sababu kila siku na sio mtekelezaji wa ahadi zake kuwa makini kwani atataka apate kutoka kwako na yeye kujiwekea ukuta usimwingilie.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa