SANCHI AFANYA WATU VICHWA VIUME - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, May 28, 2019

SANCHI AFANYA WATU VICHWA VIUME



MWANAMITINDO maarufu Bongo ambaye jina lake limekua kutokana na kuvaa nguo zinazomuonesha maungo yake wazi, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema kuwa, kama mtu hamjui, lazima kichwa kitamuuma.

Sanchi aliliambia Gazeti la Ijumaa kuwa, kuna mtu hamjui kabisa zaidi ya kumuona mitandaoni na picha zake hivyo lazima ajiulize mengi na mwisho aumize kichwa chake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa