Nilioa kwa sababu mwenza wangu aligoma kutoka geto. - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

Wednesday, May 1, 2019

Nilioa kwa sababu mwenza wangu aligoma kutoka geto.

20190326_124716


images+%252814%2529
Sikuwahi kufikiria kama nitakuja kuoa kabla sijajenga Nyumba yangu. Maisha yana mengi enzi hizo bado brazameni kwenye geto langu kuna kitanda na subwoofer tu nikajikuta bonge la Playboy nikawa nakula totoz hapo wazo la kuoa sina kabisa. Siku nikavuta toto kwa lengo la kupotezea nyege kwa siku kadhaa ila siku, wiki na miezi ikaenda manzi hana hata mpango wa kuondoka pamoja na kuonyesha dalili za kutomuhitaji bado manzi anatia ngumu hataki kuondoka ghafla manzi ananiambia ana mimba yangu sikuwa na jinsi zaidi ya kumfanya wife.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad