NI VIZURI KUJUANA NA MTU KABLA HAMJAINGIA KWENYE MAHUSIANO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Friday, May 24, 2019

NI VIZURI KUJUANA NA MTU KABLA HAMJAINGIA KWENYE MAHUSIANO



Kama kuna mtu atakuja kukwambia kuwa "nahisi huyu mwanamke/mwanaume wako navyomuona atakuja kukusumbua sana"umwambie ya kuwa hatujaanza leo mahusiano na mwenza wangu kwasababu kanivumilia mengi na ana mchango mkubwa sana kwangu,,baada ya kuonana nae ni Vingi kabadilisha kwangu,,
Watu waliotenga muda wao kujuana kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano,,ndiyo wana ujasiri wa kuongea maneno kama hayo maana wanafahamiana kiundani zaidi,,
Na ni vigumu kuwatenganisha kwa kuwaletea maneno ambayo yana nia ya kuwaweka tofauti,,ndo maana ni vizuri kumjua mwenza wako kabla hamjaingia kwenye mahusiano kwasababu unaweza ukawa na sababu za kumlinda na maneno ya watu hata kama yeye hayupo muda huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa