MWANAUME/MWANAMKE ATAKAYE UGUSA MOYO WAKO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, May 30, 2019

MWANAUME/MWANAMKE ATAKAYE UGUSA MOYO WAKO


Mtu unayeishi nae katika uhalisia kipindi cha mahusiano yenu ndivyo atavyokuwa hata baada ya ndoa,,,,kama kuna tabia anafanya huzipendi lakini unavumilia kwa kuamini atabadilika baada ya ndoa,,hiyo sio kweli,,,,lakini kama kuna vitu anafanya na unapenda badi mwombe Mungu azidi kukutunzia asibadilike,,hata baada ya ndoa uzidi kufurahia mapenzi yenu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa