FANYA HIVI ILI USALITI USIENDELEE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Wednesday, May 29, 2019

FANYA HIVI ILI USALITI USIENDELEE


Lazima uweke mipaka kwenye maisha yako ili isiwe kila mtu anakukanyaga na kukuumiza,,,ni wajibu wako na haki yako kuamua nani awepo kwenye maisha yako na nani asiwepo,,,,sasa wewe ukiendelea kuwatenga watu muhimu na kuwakaribisha wasaliti basi sahau kuwa na furaha katika maisha yako,,,ni bora kuwa na Mungu,,nafsi yako na watu wachache wanaokuthamini kuliko kubeba wasaliti.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa