MWANAUME ANAYEKUTAKA LEO NA KESHO NDIO MWANAUME AYETAKIWA ATAWALE MAISHA YAKO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, May 26, 2019

MWANAUME ANAYEKUTAKA LEO NA KESHO NDIO MWANAUME AYETAKIWA ATAWALE MAISHA YAKO


Kama hana muda wa mazungumzo na wewe kuhusu maisha basi yupo ambae anapanga nae mipango yake yote ya maisha,,haiwezekani uwe na mtu kwenye mahusiano yako ambae hana malengo na wewe na hana muda wa Kupanga maisha NA wewe zaidi ya kupanga ahadi za kupeana sex,,
Lazima ujitafakari sana hasa wanawake na mabinti,unamkuta binti kwenye mahusiano na huyo mwanaume hawana kabisa mipango yoyote ile ya maisha zaidi ya kufanya starehe tu,,hakuna plan kuhusu maisha,,hakuna plan kuhusu ndoa,,hakuna plan kuhusu watoto na familia,,my sister kiujumla nikwambie tu usipostuka utaendelea kuwa chombo cha starehe tu muda wote na huyo mwanaume uliye nae,,,nae siku ukichakaa hayokuwa na muda na wewe tena kwasababu hana tena hisia na wewe kutokana na MABADILIKO ya mwili,,kumbuka kuwa Mwanaume anaekuhitaji leo na kesho ndio mwanaume anayetakiwa atawale maisha yako.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa