MWANAMKE USIDHANI UZURI WA SURA NA UMBILE HAITOSHI KUPATA UNACHOTAKA BALI HEKIMA NA MAARIFA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Friday, May 24, 2019

MWANAMKE USIDHANI UZURI WA SURA NA UMBILE HAITOSHI KUPATA UNACHOTAKA BALI HEKIMA NA MAARIFA



Mwanamke unaweza kupata mafanikio kama tu utaamua kujituma kwa dhati ili ufikie malengo,,
Kama uko mrembo sana basi jitahidi pia kuwa na mawazo chanya ambayo yatakuwa hamasa ya kufanikiwa bila kutumia njia zisizofaa,,
Urembo bila fikra za maisha ni sawa ba bure,,,lakini urembo pamoja na hekima ni ukombozi katika jamii zisizokuzunguka,,kwani unaweza kuwa mfano kwa vijana wengine.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa