KAMA MPENZI WAKO HACHANGII CHOCHOTE KATIKA MAFANIKIO YAKO BASI HUYO NI MPITA NJIA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Friday, May 24, 2019

KAMA MPENZI WAKO HACHANGII CHOCHOTE KATIKA MAFANIKIO YAKO BASI HUYO NI MPITA NJIA



Kama uko kwenye mahusiano ambayo hamuweki mikakati  yoyote kuhusu kesho yenu,,basi mnapotezeana mda ili msogeze siku za kukutana na wenza wa maisha yenu,,,
Kwasababu huwezi kusema uko na mtu unayetamani kuishi nae katika maisha yako lakini hamna malengo ambayo mmejiwekea kama wapendanao,,,
Huwezi kuishi na mwanaume/mwanamke huyu wakati hamuweki mikakati yoyote kiuchumi ambayo itakuwa nguzo ya familia yenu,,,huwezi kusema huyu ni wa kwangu tu wakati akikuomba umsaidie hata mawazo,,unakuwa mtu wa kumkatisha tamaa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa