MAISHA MAZURI YA MWANAMKE YANATOKANA NA MWANAUME MWENYE AKILI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, May 16, 2019

MAISHA MAZURI YA MWANAMKE YANATOKANA NA MWANAUME MWENYE AKILI


Katika teso ambalo LINAGHARIMU MAISHA YA MWANAMKE,,ni pale anapokosa bahati ya kupata mume bora na badala yake akawa na bora mume
Wanaume wengi wanamtazama mwanamke kwa kitu ama vitu,,na HILO ndilo limeleta MAJUTO KWENYE NDOA NYINGI,,,kwasababu ya wanawake kukosa bahati ya kuwa na mume NA badala yake wakabaki na wanaume
Mwanamke anaweza kutembea na wanaume kumi na asione hata mwanaume mmoja wa kuwa mume wake akiamini hakuna aliye sahihi ama kwa MUONEKANO AU TABIA HALISI,,,huku akijipa moyo aliye sahihi atakuja tu,,siku na majira ndiyo gharama kubwa MIOYONI MWA WANAWAKE kwa uhitaji wa FAMILIA hivyo itategemeana na namna mwanamke huyo atakuwa amejipangia,,vinginevyo akikata tamaa kusubiri basi tena nadhiri yake ataiondoa na kujikuta ama aangalie alikopita au aamue kumpokea mwanaume yoyote atayekuja mbele yake ili kukwepa maswali au adha ya kushuhudi ndoa za wengine na yeye kubaki kupokea ahadi za kuolewa na hapo ndipo TABU YA MAISHA YA MWANAMKE HUYO HUANZA KUCHANUA kwani mume NA mwanaume NI watu wawili tofauti
Mwanaume ni kwa matumizi ya mwili na mume ni rafiki wa kudumu,,kitu pekee kinachoweza kumkomboa mwanamke ni KUIJUWA THAMANI YAKE na kukwepa kutumia mwili kwa FURAHA YA MWANAUME.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa