MAHUSIANO YANAHITAJI NACKED COMMUNICATION - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, May 16, 2019

MAHUSIANO YANAHITAJI NACKED COMMUNICATION




Ukishaona kuna vitu huwezi kuvifanya au kuongea na mpenzi wako yawezekana kabisa ukaribu wenu bado wa kusuasua,,,mahusiano yanahitaji nacked communication,,, mfanye akukumbuke usipokuwepo,,,kuna tu vitu tudogo tudogo tunaongeza appetite kwenye mapenzi/mahusiano,,,,muda mwingine mkiwa wote act kama mtoto,,,mpe nafasi ya kudeka deka,,,,mpe Uhuru akukumbuke,,,muda mwingine mwachie hata ushuzi apambane nao,,,,,sio unataka kuachia ushuzi unaanza kujibana bana muachie tu,,,kwa mpenzi aliye charming atakukumbuka hata kwa hilo hilo la kipuuzi usipokuwepo,,,bahati mbaya sana mapenzi yalivyo unaweza mfanyia mtu vitu vikubwa lakini akakumbuka kwa vidogo,,,hata pesa unazompa zinaweza zisikumbukwe akakumbuka upumbavu pumbavu unaomfanyia mkiwa wawili,,,,,,,,ukiona mpenzi wako anaenjoy ukiwa haupo ujue kabisa unaishi na baba/mama na mtoto,,muweke karibu,,,mpe sababu ya kuona pengo lako usipokuwepo,,,sio wewe ukiondoka yeye anaandaaa sherehe ya kuondoka kwako,,,,my dear ukiona hvyo ujue kabisa hata kwenye moyo wake unapwaya.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa