Mademu wenye vitambi wamezidi kuongezeka.. - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Wednesday, May 1, 2019

Mademu wenye vitambi wamezidi kuongezeka..




Nawasalimu
Nichukue nafasi hii kuwashauri maana mimi ukiwa na kitambi nakupiga chini.
Kuleni kistaarabu sasa unatoka na mamzi anaagiza chipsi mayai mishaki mitatu sosegi mbili na kuku nusu anasema afungiwe seriously..
Aya kama haotoshi mnatoka apo bidada unakuta anapiga bia zaidi yako..no way lazima likitambi lije..Alafu bora angekuwa anafanya mazoezi.
Msipoolewa mnasema hamna bahati.Badilikeni bhana la sivyo mtaishia kuzalishwa na kuachwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa