LENGO KUU KATIKA MAHUSIANO AU NDOA NI FURAHA LAKINI...... - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, May 18, 2019

LENGO KUU KATIKA MAHUSIANO AU NDOA NI FURAHA LAKINI......


Lengo kuu ni furaha,,lakini usisahau hakuna furaha bila huzuni,,bila huzuni furaha hupoteza thamani yake,,,
Amini hivyo furaha na huzuni ni kama mume na mke,,,,,,kuna muda mtakuwa na furaha lakini pia kuna muda mtakuwa na huzuni,,,kikubwa ni amani,,upendo na uvumilivu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa