KAMA HAWEZI KUTHAMINI UWEPO WAKO KIPINDI UPO MUACHE AENDE ZAKE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, May 18, 2019

KAMA HAWEZI KUTHAMINI UWEPO WAKO KIPINDI UPO MUACHE AENDE ZAKE




Kuna watu ukiwaonyesha upendo,,, huwa wanakuwa malimbukeni na kuanza kukufanyia visa na vituko na hata kukutishia kukuacha,,,
Ila unapoamua kuachana nae na ukawa huna muda nae tena,,humpi attention tena,,na ukazidi kuwa bora zaidi yake,,,ndiyo huwa anakumbuka kuwa sio  wewe ambaye huwezi ishi bila yeye ila yeye ndo hawezi kuishi bila wewe,,kama hawezi kuthamini uwepo wako kipindi upo muache aende zake ili ajifunze kuthamini uwepo wako kipindi haupo nae katika maisha yako.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa