FURAHA YAKO NI MAAMUZI YAKO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Wednesday, May 29, 2019

FURAHA YAKO NI MAAMUZI YAKO



Furaha yako ni maamuzi yako,namna unavyoamua wewe kuishi,namna unavyoamua kuchukulia mambo,,mtu anaweza kufanya jambo la kukuumiza lakini kama umeamua kitokuumia ukamuona kama mjinga fulani tu,ukatabasamu na akaishia kuumia yeye,,ni lazima kujifunza namna ya kuwa na furaha yako mwenyewe kabla ya kutaka mtu mwingine akufurahishe.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa