FURAHA YA KUDUMU KATIKA MAHUSIANO HUTENGENEZWA NA WATU WOTE WAWILI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Wednesday, May 29, 2019

FURAHA YA KUDUMU KATIKA MAHUSIANO HUTENGENEZWA NA WATU WOTE WAWILI



Kupata mke/mume unayempenda ni jambo la kheri,lakini kupata mwanamke/mwanaume wa ndoto zako ni jambo linaloleta furaha ya kudumu,,
Familia yenye watu wanaopendana ni kati ya aina za familia zilizo na furaha siku zote za maisha yao,,jitahidi kama unataka kutengeneza familia na mtu ni vema mkapendana na kuvumiliana kwa hali na Mali.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa