FURAHA NA TABASAMU KATIKA MAPENZI HULETWA NA MAMBO TOFAUTI TOFAUTI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

Monday, May 13, 2019

FURAHA NA TABASAMU KATIKA MAPENZI HULETWA NA MAMBO TOFAUTI TOFAUTI

20190326_124716

images+%252852%2529


1.KUTHAMINIANA
2.KUSIKILIZANA
3.KUHESHIMIANA
4.KUSHAURIANA
5.KUPENDANA
6.HOFU YA MUNGU
7.KUSAMEHEANA
8.KUAMINIANA
9.KURUHUSU MIJADALA YA SAFARI YENU MLIPOTOKA(IKIBIDI)NA MUENDAKO
Zaidi ya yote unapaswa kujua mpenzi ulienae anatokea familia tofauti na wewe,,malezi tofauti,,elimu tofauti na wewe hivyo basi anaweza kuwa na tabia tofauti ambazo huzipendi wewe kutokana na makuzi yake,,,,,mbadilishe kwa kuongea nae kiukarimu anaweza akabadilika na kuwa bora kwako,,NA si kumforce au kumchukia kwa madhaifu yake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad