Nilioa kwa sababu mwenza wangu aligoma kutoka geto. - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, April 30, 2019

Nilioa kwa sababu mwenza wangu aligoma kutoka geto.



Sikuwahi kufikiria kama nitakuja kuoa kabla sijajenga Nyumba yangu. Maisha yana mengi enzi hizo bado brazameni kwenye geto langu kuna kitanda na subwoofer tu nikajikuta bonge la Playboy nikawa nakula totoz hapo wazo la kuoa sina kabisa. Siku nikavuta toto kwa lengo la kupotezea nyege kwa siku kadhaa ila siku, wiki na miezi ikaenda manzi hana hata mpango wa kuondoka pamoja na kuonyesha dalili za kutomuhitaji bado manzi anatia ngumu hataki kuondoka ghafla manzi ananiambia ana mimba yangu sikuwa na jinsi zaidi ya kumfanya wife

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa