JIPE MUDA WA KUMFAHAMU MPENZI WAKO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, April 30, 2019

JIPE MUDA WA KUMFAHAMU MPENZI WAKO



Muonekano wako wa kwanza(namna utakavyoanza kufanya mazungumzo) na mhusika,,,unaweza ukasaidia kumpata mtu katika mahusiano au usimpate,,,unaweza kuigiza kukidhi matarajio ya mtu huyo kwa muda mchache lakini mbele ukashindwa na kurudi uhalisia wako,,,,,,Ladies and gentleman you need time for it,,,,jipe muda wa kumfahamu yule unayehisi anafaa kuwa WAKO.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa