Tunapokuja kuzungumzia suala la uhusiano baina yao mwanaume 'na mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi, lazima tulitazame kama ni jambo amalbalo mwanamke na mwanaume lazima washilikiane, kuna mambo matano leo nawaletea wasomaji wangu ambayo wanaume husita zaidi kuwaambia wanawake,
1, Mahusiano yao waliyopitia,
Inakuwa ni vigumu sana kwa mwanaume kuelezea uhusiano wake wa nyuma, hii yote ni kuhofia kuwa atamfanya mwanamke asijisikie vizur,

2. Jambo la pili ni kuhusiana na masuala ya pesa,
Hakika ni vigumu sana kwa mwanaume kumweleza mpenzi wake juu ya kipato chake wanaume wengi huhofea kuingia katika majumu ya ulezi wa familia ya upande wa kike, pia huhofea kupendwa kwa upepo wa pesa zake.

3. Juu ya suala la afya
Hii ni kwa pande zote, 'na kiini chake ni kwamba wengi wanaishi pasipo kupima afya zao, huogopa zaidi kama watakutwa 'na maambukizi, au laah.

4. Vitu ambavyo wanakereka na wapenzi wao
Ni ngumu sana kwa wanaume kumchana mwanamke maeneo ambayo anazingua. Huamini kumwambia hivyo mwanamke kutapunguza mahusiano.

No comments:
Post a Comment