Kumchanganya mtu sio kitu kinzuri lakini kama inawezekana fanya hivyo, lakini mda mwingine na kwasababu tofauti unahitaji kufanya hivyo ili kuwa na mtu furani, sio vizuri kumrubuni mtu lakini kwaajiri ya hili unapaswa kuwa na sababu muhimu na nzito sana, jaribu kuwa miwazo na fuata mambo yafuatayo, kumbuka kuwa kwa mda wote huo itakuwa kucheza na hisia za mtu.
Step 2step 1, kwa kifupi katika hii hatua tafta mtu ambaye unampenda na sio sio mtu ambaye humpendi,
, Tafuta mtu ambaye anasifa ya wewe kuhitaji kuwa naye, hii inafanana kidogo na
, Tafuta mtu ambaye anasifa ya wewe kuhitaji kuwa naye, hii inafanana kidogo na
Step 3,
Jifanye unafuraha ukiwa karibu na huyo mtu, hii ndio funguo muhimu katika hiyo act yako kwakuwa furaha kuonyesha upendo, na itamsukuma ajue kuwa wewe unampenda kwa dhati.
Jifanye unafuraha ukiwa karibu na huyo mtu, hii ndio funguo muhimu katika hiyo act yako kwakuwa furaha kuonyesha upendo, na itamsukuma ajue kuwa wewe unampenda kwa dhati.
Step 4,
mpatie attention kubwa pale mnapokuwa wote, hii itadhihirisha kuwa unampenda sana itamfanya ajione yeye ni wa pekee na poa amekuteka hisia zako,
mpatie attention kubwa pale mnapokuwa wote, hii itadhihirisha kuwa unampenda sana itamfanya ajione yeye ni wa pekee na poa amekuteka hisia zako,
Mwisho kabisa hakikisha mapenzi yanaendelea na kama hayatakuwa na ukomo mpaka pale utakapofanikiwa kutimiza yako then sepa.

No comments:
Post a Comment